Makapuku Forum

Makapuku Forum

Show off nyingine ni hopeless. Haya maji ya mafuriko ni masafi kweli kiasi cha kustarehemo namna hii?
b69e0647abfa8d09f7b44f1096c82fb0.jpg
Sio rahisi.
 
1971 - Tupac Amar Shakur anazaliwa.

Alikuwa ni rapa wa Hiphop kutoka nchini Marekani
04848797fac9eb26d27080a78efdbd08.jpg
43af3349585d10b4887854ff744975ef.jpg
Kwangu ni mmoja wa marapa bora wa muda wote
Alimpenda sana mama yake Affen Shakur aliyefariki mwaka jana mwishoni au mwaka huu......ilitokana na jinsi alivyomlea kwa mapenzi makubwa km single mother pamoja na umaskini hivyo ndo maana aliimba Dear Mama kumsifia
c88c596644041d3ed73a4c93c93770f8.jpg
Ugomvi wake na Big Poppa(Notorious BIG) ulichangiwa na mashabiki wao (East Coast na West Coast) mwisho wa siku wote wakauawa kwa kupigwa risasi

Tupunguze ushabiki maandazi wa Team Kiba na Team Diamond
.......
 
Unaona kujikosha huko? Eti Obe ndiyo mtu wa totoz. Utafikiri pedeshee mutu ya peremende na mutu ya totoz kuna tofauti kubwa! Actually, in my view, the former is worse especially for a married man!‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️
We ongea tu mwisho povu namwagiwa mie Shem
Ohoooo




Wengine tuna za kunguni au ile misemo ya wahenga ya "kunya anye kuku akinya bata kaharisha"
 
Unaona kujikosha huko? Eti Obe ndiyo mtu wa totoz. Utafikiri pedeshee mutu ya peremende na mutu ya totoz kuna tofauti kubwa! Actually, in my view, the former is worse especially for a married man!‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️‍♂️
Sure
 
- Leo ni siku ya Mtoto wa Afrika.
06e2002206480b17011ecbc65f202a11.jpg
Ilitokana na kile kilichotokea huko Sauzi Soweto Uprising ambayo imeshaelezewa huko nyuma

Hivyo Afrika nzima huungana kuwaenzi pamoja na watoto wengine wote wa Kiafrika wanaopitia masahibu mbalimbali
4f04e181a7f46b1bf5fbdb9e30ef6d75.jpg

Moja kati ya novel bora za muda wote kumzungumzia mtoto wa Afrika
......
......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom