Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hizo chanel zina maarifa ya hali ya juu sana
Documentary zao na baadhi ya vipindi huwa wanaviandaa vizuri sana na kuvitafiti kwa kina. Uwasilishaji wao pia umeenda shule (animation nzuri katika 3D zinasaidia sana katika kufafanua dhana ngumu katika sayansi) Yaani wanakuelezea mambo ya Black Holes mpaka unaelewa kabisa. Morgan Freeman akisimulia kipindi cha "Through the Wormhole With Morgan Freeman" hata kama ni kichwangumu vipi utaelewa tu. Sayansi tungefundishwa hivi ingekuwa poa sana.

Sasa nawafuatilia hawa jamaa wa Ancient Aliens. Wananifurahisha sana na nadharia zao za mambo ya kale, nadharia ambazo ziko nje ya mainstream science...
 
Tukubali tusikubali TV zimechangia kwa kiasi kikubwa kushuka kwa maadili,malezi kuwa njia panda watoto wanalelewa na TV,NA ZIPO SERIESVzinafundishavumagharibi ujeuri,ubabe,ushoga,uhuni,ujambazi,matumizi mabaya ya madawa,watoto kutoshiriki,kazi za nyumbani....hakika Mungu atusaidie wazazi kujua mbinu mbadala za kuwajenga watoto maana hata ukiwachapa hawaelewi mtoto anaweza kukupeleka polisi...ndiyo kuna watu wamepelekwa polisibna watoto wa kuwazaaa ..Tuombe Roho Mtakatifu atuongoze
Ni kweli kabisa, pia usiruhusu watoto kuangalia cartoon, zinaharibu sana watoto na zinachochea mapenzi ya jinsia moja
 
Google na Wikipedia zipo shem. Search: Solar flares and Earth's magnetic field, What will happen to our Sun? The end of planet Earth...Ukikosa huko nenda Discovery, Science na hata History Channels ukajisomee.

Ni uzembe wa kujisomea tu lakini kwa sasa maarifa yapo viganjani mwetu. Kumekuchaje?
Amina SHIMBA,Hakika muhimu kujisomea,asante kutukumbusha
 
Documentary zao na baadhi ya vipindi huwa wanaviandaa vizuri sana na kuvitafiti kwa kina. Uwasilishaji wao pia umeenda shule (animation nzuri katika 3D zinasaidia sana katika kufafanua dhana ngumu katika sayansi) Yaani wanakuelezea mambo ya Black Holes mpaka unaelewa kabisa. Morgan Freeman akisimulia kipindi cha "Through the Wormhole With Morgan Freeman" hata kama ni kichwangumu vipi utaelewa tu. Sayansi tungefundishwa hivi ingekuwa poa sana.

Sasa nawafuatilia hawa jamaa wa Ancient Aliens. Wananifurahisha sana na nadharia zao za mambo ya kale, nadharia ambazo ziko nje ya mainstream science...
Uliifuatilia story ya yesu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom