Makapuku Forum

Makapuku Forum

26ca4593db8941b934b6db765da5fdad.jpg
Nice
 
Kuna kitengo cha NASA ambacho kazi yake ni kusikiliza sauti ya jua na kuangalia kwa umakini activities zote na hasa miripuko ya solar flares. Kama zikiripuka kwa wingi na makalikyulesheni yao yakaonyesha kuwa solar wind inaweza kuzisafirisha mpaka huku duniani na zina nguvu kiasi kwamba magnetic field ya dunia inaweza kuelemewa, basi wanajiandaa kuzima sattelites zao za kijeshi na ikiwezekana hata mfumo wa umeme (electric grid) ili kuzuia usikaangwe na na hizo solar flares.

Wanasema kajua ketu haka ndo sasa kameingia ujana na baada ya miaka bilioni 4 hivi ijayo katafikia uzee na kataishiwa na mafuta yake (Hydrogen na Helium). Kama Yesu Atakuwa bado hajarudi basi ndo utakuwa mwisho wa dunia na visayari vilivyo karibu karibu hapo. Hellish ending!
 
[emoji524] MITHALI 22

4.Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA .Ni utajiri ,na heshima,nayo ni uzima.

MUNGU AWABARIKI SIKU YA LEO AWAPONYE,AWAFANIKISHE AWAEPUSHE NA HATARI ZOTE ZA MWILI NA ROHO MUWE NA SIKU NJEMA YENYE BARAKA TELE [emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji120]
Asante kwa chakula cha roho mama mchungaji
 
Kuna kitengo cha NASA ambacho kazi yake ni kusikiliza sauti ya jua na kuangalia kwa umakini activities zote na hasa mripuko wa solar flares. Kama zikiripuka kwa wingi na makalikyulesheni yao yakaonyesha kuwa solar wind inaweza kuzisafirisha mpaka huku duniani na zina nguvu kiasi kwamba magnetic field ya dunia inaweza kuelemewa, basi wanajiandaa kuzima sattelites zao za kijeshi na ikiwezekana hata mfumo wa umeme (electric grid) ili kuzuia usikaangwe na na hizo solar flares.

Wanasema kajua ketu haka ndo sasa kameingia ujana na baada ya miaka bilioni 4 hivi ijayo katafikia uzee na kataishiwa na mafuta yake (Hydrogen na Helium). Kama Yesu Atakuwa bado hajarudi basi ndo utakuwa mwisho wa dunia na visayari vilivyo karibu karibu hapo. Hellish ending!
Very true ...shukran kwa julisho murua kabisaa

na uzuri akili zako za asubuh zinatema madini adimu ila subiri sasa mchawi wako aje husna ....yanaveeepaa [emoji4] [emoji4]
 
Back
Top Bottom