Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Mbona makwesheni mengi VP mkuu?!Shemeji kwa nanii
Mbona makwesheni mengi VP mkuu?!Shemeji kwa nanii
Niko poa sana shemPoa VP wewe
Mungu awabariki sanq Ijumaa kareemMfungo 21 leo, Ramadhan Kareem
Balimi za offer si mchezo mkuuWewee husna weweee
Unamkosea heshima dada yangu kipenzi ....unanaanisha alichepuka na limkongo ??
basi mkuu 4give meNdio jeeSasa jee
Usome historia ya Dikteta

GoodNiko poa sana shem
Asante mkuu Shululu kwa magazeti kazi yako ni njema ubarikiweTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO

HahahaSindano zenyewe kaziweka kwa selotepu. Mabitoz si ajabu walikuja na fimbo tu waka- clear na kujitosa ndani. Ila daktari yuko very creative...
Karibu sana LeeAsante kwa chakula cha roho mama mchungaji
Google na Wikipedia zipo shem. Search: Solar flares and Earth's magnetic field, What will happen to our Sun? The end of planet Earth...Ukikosa huko nenda Discovery, Science na hata History Channels ukajisomee.![]()
![]()
ya kweli hayoo?
![]()
![]()
Nijuee tuuMbona makwesheni mengi VP mkuu?!
Njema habr za hapo kibahaSalama kabisa shemeji, habari za hapo
Samahan kiongozi naomba kuswalisha ...Google na Wikipedia zipo shem. Search: Solar flares and Earth's magnetic field, What will happen to our Sun? The end of planet Earth...Ukikosa huko nenda Discovery, Science na hata History Channels ukajisomee.
Ni uzembe wa kujisomea tu lakini kwa sasa maarifa yapo viganjani mwetu. Kumekuchaje?
Amen ubarikiweMITHALI 22
4.Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA .Ni utajiri ,na heshima,nayo ni uzima.
MUNGU AWABARIKI SIKU YA LEO AWAPONYE,AWAFANIKISHE AWAEPUSHE NA HATARI ZOTE ZA MWILI NA ROHO MUWE NA SIKU NJEMA YENYE BARAKA TELE![]()
![]()
![]()
![]()
Ziwa Tanganyika ni tajiri ni muhimu hatua za haraka zifanyike kuliokoa ,Mungu awape hekima wafanya maamuziKatika dondoo za bbc. .
Polisi jijini London nchini Ungereza wamesema ni vigumu kutambua miili ya watu waliokufa katika tukio la ajali ya moto ulioteketeza jengo la ghorofa Magharibi mwa mji huo siku ya Jumanne kutokana na kuharibika vibaya.
Ziwa Tanganyika limetajwa kuwa ziwa la mwaka lililo hatarini.Wanasayansi wanasema, shughuli za binadamu kama vile ukataji miti pembezoni mwa ziwa, umwagaji wa sumu kutoka viwandani na hata kutoka kwa makazi ya watu kunaendelea kuathiri samaki na viumbe vingine vilivyomo ziwani humo.
Maendeleo ya sayansi na teknologia kama vile kuwepo kwa vipindi mbalimbali vya Televisheni, yanatajwa kuchangia kuvunjika kwa maadili ya watoto katika nchi za Afrika mashariki.
Kenya yakabiliwa na upungufu mkubwa wa mahindi.Wakulima wameishiwa na akiba, hifadhi ya serikali imeisha, na mahindi yanayoagizwa kutoka nchi za nje hayakidhi mahitaji.
Utasikia mwimbaji mashuhuri wa Kenya, Linet Munyali kwa jina la kisanii Size Eight, akizungumzia wimbo alioutunga juu ya maisha magumu aliyoyapitia awali.