Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna kitengo cha NASA ambacho kazi yake ni kusikiliza sauti ya jua na kuangalia kwa umakini activities zote na hasa miripuko ya solar flares. Kama zikiripuka kwa wingi na makalikyulesheni yao yakaonyesha kuwa solar wind inaweza kuzisafirisha mpaka huku duniani na zina nguvu kiasi kwamba magnetic field ya dunia inaweza kuelemewa, basi wanajiandaa kuzima sattelites zao za kijeshi na ikiwezekana hata mfumo wa umeme (electric grid) ili kuzuia usikaangwe na na hizo solar flares.

Wanasema kajua ketu haka ndo sasa kameingia ujana na baada ya miaka bilioni 4 hivi ijayo katafikia uzee na kataishiwa na mafuta yake (Hydrogen na Helium). Kama Yesu Atakuwa bado hajarudi basi ndo utakuwa mwisho wa dunia na visayari vilivyo karibu karibu hapo. Hellish ending!
Aisee
 
IMG-20170616-WA0016.jpg
 
Very true ...shukran kwa julisho murua kabisaa

na uzuri akili zako za asubuh zinatema madini adimu ila subiri sasa mchawi wako aje husna ....yanaveeepaa
Mchawi wangu ni Husna au Aganza?

Madini yako pale pale na mimi kazi yangu ni kuzunguka zunguka huku Makapuku na kurekebisha rekebisha mambo. Najiita mwalimu-mwanafunzi (au mwanafunzi-mwalimu) huku Makapuku sema tu sina fimbo. Kwema lakini? Leo peremende mitaa ya wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom