Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Same to me ....I thanks AllahYo very right ma friend, how are you doin!
Same to me ....I thanks AllahYo very right ma friend, how are you doin!
Ha ahahhaa, hadhari uliyonipa kuhusu uchawi ninaikumbuka kila nikitaka kupiga hatua. Anyway, na kesho ni siku nyingine

MmmhItakuwa za Jana maana za Leo sidhani km zimekuja
AmenMITHALI 22
4.Thawabu ya unyenyekevu ambao ni kumcha BWANA .Ni utajiri ,na heshima,nayo ni uzima.
MUNGU AWABARIKI SIKU YA LEO AWAPONYE,AWAFANIKISHE AWAEPUSHE NA HATARI ZOTE ZA MWILI NA ROHO MUWE NA SIKU NJEMA YENYE BARAKA TELE![]()
![]()
![]()
![]()
Walitumia ujana wao vizurDuuuu......walijaaliwa uhai mrefu
Nice to hearSame to me ....I thanks Allah
KaribuAsante na ww mkuu
Pamoja sana mkuu LeeAsante mkuu
Huwa wanavuta mpunga kutoka njeTwaweza huwa wanajitolea au ??
Kumbe ??Huwa wanavuta mpunga kutoka nje
Kuna kitengo cha NASA ambacho kazi yake ni kusikiliza sauti ya jua na kuangalia kwa umakini activities zote na hasa miripuko ya solar flares. Kama zikiripuka kwa wingi na makalikyulesheni yao yakaonyesha kuwa solar wind inaweza kuzisafirisha mpaka huku duniani na zina nguvu kiasi kwamba magnetic field ya dunia inaweza kuelemewa, basi wanajiandaa kuzima sattelites zao za kijeshi na ikiwezekana hata mfumo wa umeme (electric grid) ili kuzuia usikaangwe na na hizo solar flares.
Wanasema kajua ketu haka ndo sasa kameingia ujana na baada ya miaka bilioni 4 hivi ijayo katafikia uzee na kataishiwa na mafuta yake (Hydrogen na Helium). Kama Yesu Atakuwa bado hajarudi basi ndo utakuwa mwisho wa dunia na visayari vilivyo karibu karibu hapo. Hellish ending!
ya kweli hayoo?

Morning mkuuMorning family
KaribuNime wamiss humu
Very true ...shukran kwa julisho murua kabisaa
na uzuri akili zako za asubuh zinatema madini adimu ila subiri sasa mchawi wako aje husna ....yanaveeepaa![]()
![]()
kumbe mi ndio mchawi wake ohoooooo

Senkyu saaKaribu
Kabisa, ngoja tuwaoneBhasiiiìi mkoshaneee
Hahahaha..tunacheka ila inaumiza sanaKirat ..![]()