Amen dada ubarikiwePoleni sana kaka Mungu anaenda kumponya kaka na pia awatie nguvu ninyi ndugu jamaa na marafiki Amen
AmenTuko nawe kwenye sala
Asante mkuu nimekaribiaKaribu tena mkuu Mndali ndanyelakakomu
Umeamkaje mr peremende vs watoto wakaliWakuu kumekuchwaa swalamaa kabisa na kila aliyebahatika kuipata pumzi ya leo bhasi vyema amshukuru Muumba wake ...
Soon UF
Hakika kumekucha salamaWakuu kumekuchwaa swalamaa kabisa na kila aliyebahatika kuipata pumzi ya leo bhasi vyema amshukuru Muumba wake ...
Soon UF
Umeamkaje shemejiHakika kumekucha salama
Mungu awajalie shunie Na Lee ndoa yenye miaka mingi zaidi ili mvunje record
Salama kabisa shemeji, habari za hapoUmeamkaje shemeji
Polisi jijini London nchini Ungereza wamesema ni vigumu kutambua miili ya watu waliokufa katika tukio la ajali ya moto ulioteketeza jengo la ghorofa Magharibi mwa mji huo siku ya Jumanne kutokana na kuharibika vibaya.
Ziwa Tanganyika limetajwa kuwa ziwa la mwaka lililo hatarini.Wanasayansi wanasema, shughuli za binadamu kama vile ukataji miti pembezoni mwa ziwa, umwagaji wa sumu kutoka viwandani na hata kutoka kwa makazi ya watu kunaendelea kuathiri samaki na viumbe vingine vilivyomo ziwani humo.
Maendeleo ya sayansi na teknologia kama vile kuwepo kwa vipindi mbalimbali vya Televisheni, yanatajwa kuchangia kuvunjika kwa maadili ya watoto katika nchi za Afrika mashariki.
Kenya yakabiliwa na upungufu mkubwa wa mahindi.Wakulima wameishiwa na akiba, hifadhi ya serikali imeisha, na mahindi yanayoagizwa kutoka nchi za nje hayakidhi mahitaji.
Utasikia mwimbaji mashuhuri wa Kenya, Linet Munyali kwa jina la kisanii Size Eight, akizungumzia wimbo alioutunga juu ya maisha magumu aliyoyapitia awali.Polepole bageshi. Umefika wapi kwa shemeji yangu?
MITHALI 22
