Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
vipi lakini nakuona kama haupo owkey nini shidaAsante mdogo ake mie
vipi lakini nakuona kama haupo owkey nini shidaAsante mdogo ake mie
Mimi pia nilikuwa nalo nikalalamika baada ya siku moja zikarudi. Sijui kama ni concidence au kama mods walifanya kitu.![]()
![]()
si uwaambie au ukatoe lalamiko wengi wanalalamika hili tatizo wanaotumia jf app
Asante mkuu
Shukrani mkuu
Shukrani sana mkuu Bitoz
Thanks bitoz kwa top ten ya almasi
Asante Bitoz
Pamoja sana wadauAsante madenge
Sakayo na mumeo panawahusu hapaMimi pia nilikuwa nalo nikalalamika baada ya siku moja zikarudi. Sijui kama ni concidence au kama mods walifanya kitu.
Kama unatumia app, nenda kwenye settings ya simu => apps => JF ukasafishe data kabisa kabisa. Kisha log in na hakikisha push notifications unazotaka ziko on. Ikishindikana unaweza ku-uninstall hiyo app halafu zima simu kwa muda hivi. Ukija kuiwasha install app upya, put on notifications halafu uone. Kuna mtu aliniambia nikafanya hivyo na notifications zikarudi sasa sijui kama hii ilisaidia au ni mods walirekebisha...
Bhinamu nina salamu zako
Pamoja sanaSawa mkuu...
Kumbe mle mle...!
Nawe pia shemejiHata sijui shemeji
Usiku mwema
Yupi sasa, maana shedede umemkataaHajambo tu
Jaribu kutumia WiFi kama utapata notification niambieAsante mdogo ake mie
Hata mie nahisi siko poavipi lakini nakuona kama haupo owkey nini shida
Aaa wapi. Kubabaishana tu. Isitoshe huyu ni mke wa USA Baby kama sikosei. Ukimkorofisha mumewe akija mabomba ya kimombo (na lugha ya dharau) utakayopigwa hutakaa usahau maishani mwakoCc.shimba ya buyenze


. Usivione vyaelea shemu, watu wameunda!AsanteSakayo na mumeo panawahusu hapa
AsanteNawe pia shemeji
MaumivuHebu ziweke hapa mjomba maana zikiwa ni mbaya hata mimi ninazo za kwako🙂

Mabingwa wa FOREX haoNdio maana vipato vinakua sababu ya utoaji
MmmmhJaribu kutumia WiFi kama utapata notification niambie
Pedeshee wapi michosho tu?![]()
![]()
pedeshee amekuwa nyuki kupewa maua
♂️
♂️
♂️
Hebu ziweke hapa mjomba maana zikiwa ni mbaya hata mimi ninazo za kwako🙂
binamu nakugawa bureeWazungu wanawapa silaha wauane ili wajichotee almasi kiulainiHuko kuna vilema wa miguu,mikono, macho na pua kisa almasi
Mimi nilikuwa nikitumia WiFi napata notification, nikirudi tu kutumia data za kwenye simu nakuwa sipatiMmmmh