Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
Nakuona mke mweeOhooo
Nakuona mke mweeOhooo
Government inachukua 60%2/Botswana![]()
![]()
![]()
Huyu ndo mzalishaji mkubwa wa almasi barani Afrika
Siyo tu kuzalisha almasi bali pia nchi ina viongozi wazalendo haswa ambao hutumia vizuri rasilimali za madini na utalii(pundamilia ndo nembo yao) kuleta maendeleo
Huko pia De Beers wapo kama kawa ila unyonywaji sio mkubwa
Migodi mikuu ni Orapa na Jwameng
Kwa mwaka huzalisha almasi Carats 23,000,000
........
Ndo ajibu yeyeBaba D si sakayo tu ndio wake au anao wengine
Wa wanawake waneneUpii
Jaman mke mwee najuaHivi umejua lakini mke mwee au umeshkuru tu
Huko hawana kina Chenga2/Botswana![]()
![]()
![]()
Huyu ndo mzalishaji mkubwa wa almasi barani Afrika
Siyo tu kuzalisha almasi bali pia nchi ina viongozi wazalendo haswa ambao hutumia vizuri rasilimali za madini na utalii(pundamilia ndo nembo yao) kuleta maendeleo
Huko pia De Beers wapo kama kawa ila unyonywaji sio mkubwa
Migodi mikuu ni Orapa na Jwameng
Kwa mwaka huzalisha almasi Carats 23,000,000
........
Sijaona jibu lake, lakini anajuaHahaah kweli shemela kajibu vipii kwani
Baby shunie ukujeeee useme kama bado upooWa wanawake wanene
Yuko sumbawanga anawangaShedy yko api?
NiajeHelloz..
MambooShemela
Wa kuacha hiyo avatar au ubadilisheUmefanyaje tena shemela
Nzuri za ww?habar za jion Makapuku
Hongereni![]()
![]()
commenti yngu ilikuwa ya 213000
PoazHelloz..
Thanks bitoz kwa top ten ya almasi1/Urusi![]()
![]()
![]()
Hawa jamaa ndo vinara wa uzalishaji wa almasi dunia nzima
Mmiliki mkubwa ni ALROSA
Kwa mwaka Urusi huzalisha almasi Carats 37,800,000
Siongelei mchanga sijui makinikia hayo anajua bwana Pombe
.
.
.
.
.
Summary![]()
Jedwali linaloonyesha nchi 10 zinazozalisha/chimba almasi kwa wingi na thamani ya almasi kwa mwaka
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........