Makapuku Forum

Makapuku Forum

Connection siyo kwamba ni nguvu ya uvutano tu huyu mkubwa anamvuta huyu, huyu naye anamvuta huyu?

Niko interested sana na mambo haya kwani kupitia kwayo huwa nauona utukufu na uwezo wa Mungu live; na huwa hainiingii akilini kabisa kuwa mifumo yote hii tata na iliyopangwa kwa ustadi wa ajabu eti imetokea tu by chance!
6dec6bbdaa5923b303026c8a60fa1531.jpg
 
Aaa wapi. Kubabaishana tu. Isitoshe huyu ni mke wa USA Baby kama sikosei. Ukimkorofisha mumewe akija mabomba ya kimombo (na lugha ya dharau) utakayopigwa hutakaa usahau maishani mwako [emoji23][emoji23][emoji23]. Usivione vyaelea shemu, watu wameunda!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] shemu unaogopa kuambiwa"gaddemuu"
 
Back
Top Bottom