Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,870
hahaha na me nimeona kiungwana shem wange ngoja tusubili jibu![]()
![]()
![]()
Nimemuuliza kiungwana tu nothing else shem wane
hahaha na me nimeona kiungwana shem wange ngoja tusubili jibu![]()
![]()
![]()
Nimemuuliza kiungwana tu nothing else shem wane
Huwa namshangaa kuweka avatar za ajabu ajabumuongooo mbona unatamani avatar za watu
shemela vipii naongea uongo
Macho kodoo
Asante, leta manenoTOP TEN
Km bwana yule anavyotupigia makelele kuhusu madini na mimi naendelea kuyazungumzia madini km ilivyokuwa jana tulivyozungumzia dhahabu
Leo tunazungumzia almasi(diamond) ambayo yenyewe uzito wake haupimwi kwa Tani wala Kg bali tu Metric Carats
NB
1 carat= 200 milligrams
Karibuni
.......
Ikiwaje shemelanaiona simba ijayo aisee
bila promo huwezi fanya biashara shemelaHuwa namshangaa kuweka avatar za ajabu ajabu
Asante kwa kuyapitia shemela wangu wa ukwelishemela wangu mie asante kwa magazeti
Duh6/Zimbabwe![]()
Hii ndo nchi maskini # 2 barani Afrika kiasi cha kutoka kurejea kwenye Barter Trade (nipe almasi nikupe mbuzi) ila ikaamua kuanza kutumia dola ya Marekani na Rand ya Sauzi maana pesa yao imeporomoka hatari![]()
Mgodi maarufu unamilikiwa na kuendeshwa na Rio Tinto[/b]
Almasi ya Komredi Mugabe hufikia hadi thamani ya USD 540 Milioni kwa mwaka
Huzalisha Carats 10,400,000 kwa mwaka
.......
yaan siipatii picha shemela mnyamaa tutawakimbiza sanaIkiwaje shemela
Poa poahahaha na me nimeona kiungwana shem wange ngoja tusubili jibu
Huko kuna vilema wa miguu,mikono, macho na pua kisa almasi10/Sierra Leone![]()
![]()
![]()
Kuna mtu hazijui almasi za damu? Linapatikana huko
Ni vita za wenyewe kwa wenyewe zikichochewa na wamagharibu/wazungu wenye maslahi yao huko
Wizara yao ya madini ndo inasimamia ambalo kuna Mines and Minerals Act 2009 lakini mafisadi bado wanafanya mambo kiMangungo
Kwa mwaka huzalisha almasi Carats 609,000
..........
Shemela za jioni, D hajambona huko dada poleni jamaan
Mh shemelausiyatoe mke mwee aendelee kutamani avatar za watu
safi shemela D mzima kabisaShemela za jioni, D hajambo
Usiirudisheitarudiiii
Mh shemela
shemela ujue me naongea ukweli kimoyomoyo usikute unanishkuru sana ninavyoongeaI agree. There are lot of things that we still don't know; and some phenomena might be outside the scope of science as we know it (particularly how it operates)Of memory ,Sevaral studies and finding reveals such phenomenal amaong the scientists and we do agree on the facts science is about reality ...aside limbic and just concentrate only on neuroscience studies but first you need to agree the facts tha t cell being basic function unit ..
Recall of the common organ being transplanted ..such as cornea , kidney and haert or mr shimba wew unazungumzia kiungo kipi??
hope you ar aware of combinatorial neurons stored in the organ being donated such as above mentioned
....recall the" theory of life in life "memories and decider "
the problem come when the factors such as immunosuppressant druds, psychosocial stress and pre existing psychopathology of recipient and other several factor being not taken into consideration. ..
Lets go through example. .. In 1997, a book titled A Change of Heart was published that described the apparent personality changes experienced by Claire Sylvia.
Sylvia received a heart and lung transplant at Yale-New Haven Hospital in 1988. She reported noticing that various attitudes, habits and tastes changed following her surgery. She had inexplicable cravings for foods she had previously disliked. For example, though she was a health-conscious dancer and choreographer, upon leaving the hospital she had an uncontrollable urge to go to a Kentucky Fried Chicken outlet and order chicken nuggets, a food she never ate.
Sylvia found herself drawn toward cool colours and no longer dressed in the bright reds and oranges she used to prefer. She began behaving in an aggressive and impetuous manner that was uncharacteristic of her but turned out to be similar to the personality of her donor.
Kidogo wao almasi inawanufaisha9/Namibia![]()
![]()
Inapatikana huko Kusini mwa Afrika
Almasi hupatikana kwa wingi huko Luderitz ambapo zamani lilikuwa ni Koloni la Ujerumani na kuitwa German South West Africa
Kwa mwaka huzalisha Carats 1,600,000 za almasi
........