Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Ugomvi huooo shemPedeshee wapi michosho tu? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
pole naona wote na mkeo hampo sawa aya mchukue mkeo mkumbatianeni mkalaleMmmh..
Wewe acha tuu
DuhMilimani huko mvua ikinyesha kubwa sana watu huwa wanajiokotea almasi
Na weww uko kama mimi?Hata mie nahisi siko poa
[emoji2] [emoji2] ndio mana mama mchuchu hataki mtu yeyote zaidi ya mukongo wakeDuh
Nafikiri hata Mukongo ana almasi
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.......
Wanathamini Mali kuliko utuWazungu wanawapa silaha wauane ili wajichotee almasi kiulaini
Wazungu ni mabingwa wa fitna
.......
Sio za kuwekwa hapa tafwazwariiiHebu ziweke hapa mjomba maana zikiwa ni mbaya hata mimi ninazo za kwako🙂
Usikonde mwaya nampenda bamdogo wako mpaka mwenyewe najionea wivu yaniUsimfanyie hivyo ujue anakupenda bamdogo angu
mmhSio za kuwekwa hapa tafwazwariii
[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Kwanini sasa anajificha?
Ingependeza tumuone Live
........
Pole mpendwa kunywa juice ya tangawizi...., koh koh koh, nina kikohozi nataka kusikika
hapo sawaUsikonde mwaya nampenda bamdogo wako mpaka mwenyewe najionea wivu yani
Huku kwetuGovernment inachukua 60%
Mwekezaji anachukua 40%
Ya mapato ya almasi
Hivi ni nani?Hajambo tu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] usimsikilize[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binamu nakugawa buree
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Pole mpendwa kunywa juice ya tangawizi
We will be okeypole naona wote na mkeo hampo sawa aya mchukue mkeo mkumbatianeni mkalale