shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Duh aisee1907 - Norway yawaruhusu Wanawake kupiga kura.
Duh aisee1907 - Norway yawaruhusu Wanawake kupiga kura.
HBD Ernesto1928 - Ernesto Che Guevara anazaliwa.
Ni daktari, mwanaharakati na mwanamapinduzi wa Argentina.
Mmoja kati ya viongozi wa Mapinduzi ya Cuba ya 1959.
HBD Donald1946 - Donald John Trump anazaliwa.
Ni Rais wa 45 wa Marekani.
Asante kwa leo katika historia mkuu musoliniLeo katika Historia:
Sina la ziada, siku njema.
Asante mkuuLeo katika Historia:
Sina la ziada, siku njema.
Hahahaha wahenga walisemaAvatar ile tumeipigania tumechoka. Sasa tumewekewa Mhabeshi mbichiiii...
Kama kuna mwenye ile avatar ya kwanza please airushe hapa. Nataka niihifadhi kama kumbukumbu yangu nije niwasimulie wajukuu...
Karibu jukwaani mkuuZangu nzuriii kabisaaa
wataandamanahii inabidi ingekuwaga kwetu tz wanawake no kupiga kura
Mpaka sasa humu kwema kabisaKwema humu Wakuu?
Marhabaa mdogo wanguShikamooni wadogo
Wakubwa marahaba
Hajapatikana bado. Wifey material kuwapata siku hizi ni nadra mno! Kuna wapigaji tu - unapiga nawe unapigwa..na maisha yanasonga!Wife yuko wapi?!



HBD Donald
Asante karibuShikamooni wadogo
Wakubwa marahaba
Marekani wanawake waliruhusiwa kupiga kura majuzi juzi hapa tu (mwaka 1920) na mpaka leo bado wanabaguliwa hasa katika mishahara. Kwa wastani mwanamke wa Marekani leo hulipwa senti 79 kwa kila dola ambayo mwanaume hulipwa. Yaani kama mwanaume analipwa dola 1 kila saa hata kama ni kwa kazi ile ile, elimu ile ile... mwanamke yeye atalipwa senti 79.Nasikia hata Marekani mwanzo hawakuwa wakiruhusu wanawake kupiga kura! Walikuja kuruhusu baada ya kujihakikishia kuwa kiwango chao cha elimu kimekuwa sawa na wanaume
...Watu walishachukua chao...and guess what? Hao hao waliochukua chao mapema na kujitajirisha kupindukia jamii inawaheshimu sana na kuwaona wajanja. Mtemi Chenge Joka Makengeza lililoshindikana alipofukuzwa uwaziri kwa ile ishu ya rada alipata mapokezi huku Usukumani ambayo hayajawahi kutokea. Magari na watu walijipanga kutokea Mwanza mpaka Bariadi (mwendo wa karibia masaa sita kwa gari). Watu wanaabudu wenye pesa na wewe ukiwa mwadilifu ukapewa ulaji usiibe ukistaafu hujatajirika jamii inakucheka. Kwa Falsafa kama hii ufisadi utaisha lini? Ndiyo maana, pamoja na matatizo yake yote mengineyo, namheshimu sana Mwl. Nyerere japo naye anachekwa kwa kufa masikini na kutowaachia utajiri wanae. Na nadhani masikini alimwamini kabisa kabisa mwanafunzi wake Mkapa kuwa ni mwadilifu mpaka kuzunguka nchi nzima kumpigia kampeni. Jamaa akageuka na kuwa mpigaji wa kutisha!Huku Uswaz kwetu tumelala giza km bundi jana na tumeamka gizani km kuku bandani na hadi sasa umeme haujarudi
Jovyo hata simu chaji imekata ila IPTL/Dowans nasikia hata umeme usipokiwepo wanalipwa tu mamilioni yao kila siku
.....
PoleniUko niliko nini, hata kwetu toka Jana mchana mpaka leo ni ziiii... Wala hamna dalili
Habari yako Clkey ratiba ya EPL umeiona?Habari za asubuhi wapendwa wangu
Iko salama kabisaFamilia iko poa sana, nisijue kwako
Nzuri za kwako
![]()
![]()
![]()
![]()
kumbe cyatoi
Habari zenuSwalama kabisa