Makapuku Forum

Makapuku Forum

82ae30c69ff838bf000c9295a1712379.jpg
 
Katika dondoo za bbc

Mwanasheria mkuu wa Marekani Jeff Sessions amepinga mbele ya kamati bunge la Seneti kuwa alifanya njama na Urusi katika uchaguzi wa mwaka jana ili Trump aingie madarakani.

Wakati leo ikiwa ni siku ya uchangiaji damu duniani. Nchini Tanzania kumekuwa na kampeni ya kuhamasisha raia wa nchi hiyo wachangie damu ili kuokoa maisha ya wagonjwa katika hospitali za nchi hiyo.

Licha ya sekta ya kilimo kuwa uti wa mgongo wa uchumi wa Uganda baadhi wanasaikosoa serikali ya taifa hilo kwa kutotilia maanani sekta hiyo.

Watu watatu waliokolewa jana jioni baada ya kutokea mkasa wa jumba la ghorofa saba kuporomoka usiku wa kuamkia Jumanne, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu wa Kenya, Nairobi.

Michuano ya ndondi kwa nchi za Afrika inatarajiwa kuanza Jumamosi hii katika mji wa Brazavile nchini Kongo.Uganda pekee ndio itaiwakilisha Afrika Mashariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom