Umesema hapo juu kuwa wewe huna roho ya uvumilivu.![]()
![]()
![]()
msukuma umejuaje
shemela agiza kinywaji chochote bill ije kwangu kwa muke ya pedeshee lee
Situmiagi shemela.
ningeipika hiyo nyama tuile sitaki ujinga mieUmesema hapo juu kuwa wewe huna roho ya uvumilivu.
Ungekuwa ni wewe hapo ungefanya nini? Ungeirudisha nyama kwa Mangi? Ungempikia mumeo na mambo yakaisha? Ungemtafuta mwenye nyama au unge...?
muwe na usiku mwema mashemela wa mimi mlindwe na Damu ya Yesu nawapenda ila nampenda Baba D wangu zaidi ulipo baby popote Yesu akutunze![]()
Pamoja sana shemela.

♂️
♂️
♂️
Ngoja nifanye uchunguzi.eti ndio mjomba ake Baba D
Muziki na Makosa
Ni wakati wingine tena tunakutana hapa hapa pa siku zote Makapuku wenzangu. Natamani kuwaita waheshimiwa makapuku lakini kila nikitaka kutamka hivyo ulimi unakuwa mzito, ulimi zege, maana wale waheshimiwa kule bungeni hawajui hata wanafanya nini na bado wanajiita waheshimiwa. Waheshimiwa wabaki mahakimu tu
na hii ndo sababu ya kuchukia kuitwa mkuu, maana kuna mkuu hana vyeti, mwingine kala rambirambi, mwingine alitaka kuhongwa na ACACICIA huku ndo akiwa kichwa kabisa na bahati mbaya si TAKOKURU wala TBS waliojitokeza kuangalia viwango. Wakuu wabaki walimu tu
Najua kabisa kutenda makosa ndo ubinadamu, uanamume na uanamke na si zaidi ya hapo. inakuwa mbaya sana pale unapofanya makosa na ukawiwa kabisa na nafsi kwamba umefanya makosa ila kwa kibri tu unajikausha na kuamua kusingizia wengine wasiotenda uliyotenda kuwa ndio waombe msamaha. yaani hii ni sawa na makanikia na sisiemu jumlisha uzalendo wa nchi yetu. Ipo siku, yana mwisho kama alivyowahi kusema Shafi katika Kuli.
Hivi naandika nini hapa, najishangaa lakini vidole vinazidi kutiririka tu kuelekea chini.
Les Wanyika ndo tunao leo humu kwenye muziki na utamu wa gitaa, unaikumbuka Shilingiu Yaua tena Maua, pamela na nyingine tamu nyingi? Well kama hukumbuki ngoja nikukumbushe kidogo.
Wanyika band zilikuwa zinaongozwa na Wakenya na Watz ambao miaka ya 70 walikimbia uchumi mbovu kwenye tasnia ya muziki nakwenda Kenya huko wakaanzisha band na kupata mafanikio makubwa ambayo hata hivyo hawakudumu sana. nawaongerea kina Kinyongas na Ngereza. siku nyingine tutawaangalia ndugu hawa ila leo tupate kibao chao matata sana
Ni clip ya YouTube, na kaa ukijua hiki si kipengele cha zilipendwa bali muziki na utamu wa gitaa

Aka peremendeshemela agiza kinywaji chochote bill ije kwangu kwa muke ya pedeshee lee

basi me kisukari byebye mana siwezi lala na nguo kabisaHata mimi ngoja niwakimbie. Mungu Atulinde na kesho itukute salama. Nawapenda nyote na nyinyi sasa ni sawa na ndugu!
Mlale salama na ikibidi zingatieni kautafiti haka![]()
♂️
♂️
♂️
![]()
sawa shemela nakuaminiNgoja nifanye uchunguzi.
Asante shemela, nawe uwe na usiku mwema,muwe na usiku mwema mashemela wa mimi mlindwe na Damu ya Yesu nawapenda ila nampenda Baba D wangu zaidi ulipo baby popote Yesu akutunze![]()
Leeeee ...basi me kisukari byebye mana siwezi lala na nguo kabisa
♂️
♂️
♂️Obe unaomba msamaha kadri ya kosa ulilofanya kuwabembeleza wale uliowakosea wakusamehe.... Naamini maneno mazuri yana thamani kubwa kuliko pesa.Mmmh, hiki kingereza kirefu hivi ni apology tu au unataka kuomba mkopo.
Sisi tunaomba msamaha kiukweli NSA (no string attached) tunasemaga sorry then we offer a drink or two
What stands for K Obe?Wewe si unamuita baba D, huku kwa cheusi majirani wanamuita baba K
What stands for K Obe?
dah!wanawake kama ndio wanatakiwaWanawake wote wangekuwa hivi duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi!![]()
dah!wanawake kama ndio wanatakiwaWanawake wote wangekuwa hivi duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi!![]()
Ni ipi hio?Njia kuu ielekeayo nyumbani kwenye ile fursa kuu ni moja tu. Ifuate!![]()
Kwani bagheshi na wewe kwenye mitala umo?Wanawake wote wangekuwa hivi duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi!![]()