Usijali shem, nipo na wewe katika kukusaidia.
nashkuru shemela wangu kwa moyo wako huo
...hawa whamiaji haramu si unajua wakishalewa kidogo tu wanaanza kubatiza watu majina
aiseee wamekuwa wahamiaji haramu tena acha nikalaleHarafu shemela hili jina unalijua muda mrefulakini me ni mama k pia
Basi hupaswi kumpandishia presha shangazi yako.
Nilikuwa namsaport shimba![]()
mke mwee muwekee mumeo avatar jamaan
Wanawake wote wangekuwa hivi duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi!![]()

hahahh shemela hamna Baba D hana k huko kwa hilo nitapinga hata kushika bibleHarafu shemela hili jina unalijua muda mrefu
Nimeona mkuu.Salama kabisa, tupo mkuu
aisee binamu wewe hivi me nikiachana na mjomba wako utapata faida ganiii au utafurahi akiwa single humu aanza kukamatia tu kila mtu...ha hahaha, tunakujua wewe ni mshauri nasaha, unataka wagombane waje uwasuruhishe wakulipe.
Sahangaz yangu presha hana kabisa saa hizi anabarizi tu
DuhYa tazara pasipo michepuko unakata tamaa
hapana shemela akuwekee tu avatar mke mwee ukuje mumeo anatamani avatar za watu toa uwa hiloNilikuwa namsaport shimba
Shemeji, unajua linaitwaje kwa Kiingereza?
Akili mkichwa shemelaBaba D hapa umemaanisha nini
Kumbe unajuaNahisi fakalava atakuwa kamficha
nimeona shemela acha nijilalie zangu mieAkili mkichwa shemela