Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji2] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ngoja niendelee na biashara zangu maana muda ni mali
Hata wengine biashara tunazo; na tunatambua kuwa muda ni mali bali tunaomba tu uwe unakaa kaa hapa japo kwa muda kidogo ili angalau uweze kujibu madukuduku ya wapendwa wako. Hii kuja na kukimbia wala haipendezi! Halafu avatar naona zinazidi kuwa "tamu" kila kukicha. Safi sana!!!
 
Hata wengine biashara tunazo; na tunatambua kuwa muda ni mali bali tunaomba tu uwe unakaa kaa hapa japo kwa muda kidogo ili angalau uweze kujibu madukuduku ya wapendwa wako. Hii kuja na kikimbia wala haipendezi! Halafu avatar naona zinazidi kuwa "tamu" kila kukicha. Safi sana!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom