Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,277
- 35,630
Great! Asante kwa maua, afu yananukia vizuri kweli, umeyapulizia gift of Zanzibar eeh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kila ukinichekesha nitakupa UA hata km utayaita mishumaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Great! Asante kwa maua, afu yananukia vizuri kweli, umeyapulizia gift of Zanzibar eeh![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
kila ukinichekesha nitakupa UA hata km utayaita mishumaa
![]()
![]()
![]()
![]()
Great! Asante kwa maua, afu yananukia vizuri kweli, umeyapulizia gift of Zanzibar eeh

I,mzeewakungoa,here under submit an official apology to my dada Shunie for inadequately questioning her marital status.I am highly aggrieved for those who may be hurt by my inappropriate behavior including my dada Shunie and Rafiki kipenz Lee and I promise that such behavior will be not repeated.
binamu ujue nakugawa bure na jana mama mchuchu hajanijibu kabisa kama atakuchukua bhMmmh, hiki kingereza kirefu hivi ni apology tu au unataka kuomba mkopo.
Sisi tunaomba msamaha kiukweli NSA (no string attached) tunasemaga sorry then we offer a drink or two
![]()
binamu ukakufweee na vyeusi mangala
Humuoni anavyochekeleaujue yeye kajitoa sijamuelewa shemela
hivi binamu unataka kuniua nikikufwa weeeh ndio furaha yako si ndio Baba D naomba ukuje harakaWewe si unamuita baba D, huku kwa cheusi majirani wanamuita baba K
Ushasema "Jamaa Mfaransa"
Mihimili mitatu yote ipo dunia nzima tatizo ni Mihimili mmoja tu yaani Bunge kujaa wapuuzi ambao wanatanguliza maslahi ya vyama badala ya kuisimamia serikali na kutetea wananchi ndiyo maana wanachezewa na Rais
Km huamini Jaji Mkuu/Mahakama ina nguvu sawa au pengine kumzidi Rais mwambie Sizonje amteue Jaji Mkuu uone km atakuwa anaichezea Mahakama na kutoa vitisho
Yeye siyo mjinga kumuweka tu Kaimu Jaji Mkuu maana anajua ndo pona yake na wabunge hao hao wana uwezo wa kumuondoa Rais km anakwamisha Katiba mpya
Tatizo kuu la Tz ni katiba mbovu na wabunge mbumbumbu/wasio wazalendo
............
kuchekelea kwake amemaanisha nini shemelaHumuoni anavyochekelea
Ndo utajua kwa nini wanasema dunia inazunguka wakati hujawah kujikuta kichwa chini miguu juu

Unamuona mumeo
namuona mke mweeUnamuona mumeo
pedeshee lee mutu ya peremende
Haya crudii kuwataja tenaMe sitaki jamaan![]()
![]()
![]()
![]()
jamaaan mama pedeshee mutu ya peremende mbona hivo
Mimi nshaacha
