Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hata wengine biashara tunazo; na tunatambua kuwa muda ni mali bali tunaomba tu uwe unakaa kaa hapa japo kwa muda kidogo ili angalau uweze kujibu madukuduku ya wapendwa wako. Hii kuja na kukimbia wala haipendezi! Halafu avatar naona zinazidi kuwa "tamu" kila kukicha. Safi sana!!!


.... Safari moja huanzisha nyingine
 
Wanawake wote wangekuwa hivi duniani pangekuwa mahali pazuri sana pa kuishi!
0fed2e6b0cb81fb3cfba8d7b5fc524a7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom