Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Kwa hiyo asiwe anasema?Binamu mengine wewe sijui unayatoa wapi , unamjua mama D alivo na moyo mpana
Afadhali urudi njia kuuBinamu cheusi wako kanishinda
Mbona usiwe kama huyu mwenzio hapa? Kuna ubaya gani?nisijue Baba D nijue unanisaliti lakini nisijue huyo mwanamke nitaua jamaan
kweli mke mwee na mama mchuchu aendelee kumpa asante tu
Vya kawaida vingine sio wajibu wang lakinbasi usimsaidie sana msaidie vya kawaida tu
msukuma siwezi mie moyo huo sinaMbona usiwe kama huyu mwenzio hapa? Kuna ubaya gani?![]()
U-turn yako unakamatwa![]()
![]()
vyeusi ujue ni vya binamu na nimesikia na mme mweee anavipendaa
Mama K![]()
![]()
![]()
Mimi nimeuliza mama D ..make naona unamtaja sana cheusi kuliko kumkemeahivi Baba D unanitafuta nini jamaan kwahiyo nikikufwa kumbe utafurahi
Mfunde Shunie aache bifu za kitoto na akina Cheusi Mangala aka Mama K...Huyu muungwana sanaa![]()
![]()
![]()
♂️
♂️
♂️
lakini me ni mama k piaUchochezi huu sasa, wale wanaomuita mjombaangu eti baba K ni wahamiaji haramu
Kwa avatar tu hajamboHata wengine biashara tunazo; na tunatambua kuwa muda ni mali bali tunaomba tu uwe unakaa kaa hapa japo kwa muda kidogo ili angalau uweze kujibu madukuduku ya wapendwa wako. Hii kuja na kukimbia wala haipendezi! Halafu avatar naona zinazidi kuwa "tamu" kila kukicha. Safi sana!!!
Sasa mbona unaenda kinyume
Unataka nionekanajee kulee??
Nyodo wapi kipindi hiki ??Safari zingine hufa hata kabla hazijaanza. Na utamu wa safari mara nyingi unategemea na msafiri mwenyewe. Ni afadhali uahirishe safari kuliko kusafiri na msafiri mwenye "nyodo!" Azawaisi cha moto utakiona!
sio shunie mimi msukuma me nikijua nawaachia kabisa sinaga moyo huo jamaanMfunde Shunie aache bifu za kitoto na akina Cheusi Mangala aka Mama K...♂️
♂️
♂️