Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Segerea pabaya ujueenisijue Baba D nijue unanisaliti lakini nisijue huyo mwanamke nitaua jamaan
Ndo maana tunaimizwa kusamehe
Segerea pabaya ujueenisijue Baba D nijue unanisaliti lakini nisijue huyo mwanamke nitaua jamaan
huyu binamu mke mwee hafai acha mama mchuchu amkatae
Anakupoteza huyo baba D![]()
na shemela tena mke mwee ukuje
me simpendi ila Binamu ndio anamuongelea Baba D me ata habari zake sitaki kuzisikiaMimi nimeuliza mama D ..make naona unamtaja sana cheusi kuliko kumkemea
hata vya kawaida usimsaidie Baba DVya kawaida vingine sio wajibu wang lakin
Aisee.....muache tu , wewe si ulijitabulisha kuwa ni papa mutu ya peremende mtama kwa watoto. Usimpe Kodi ya nyumba mwezi ujao

Kumbe jina la peremende limeanzia huko.....muache tu , wewe si ulijitabulisha kuwa ni papa mutu ya peremende mtama kwa watoto. Usimpe Kodi ya nyumba mwezi ujao

pabaya Baba D ukinichoka uniambie tu me mambo hayo siwezi jamaanSegerea pabaya ujuee
Ndo maana tunaimizwa kusamehe
Ya tazara pasipo michepuko unakata tamaaAfadhali urudi njia kuu
kwahiyo binamu mm ndio sina roho eenhLol! Yamekuwa hayo tena, mbona mambo madogo unayafanya makubwa jamani shangazi. Ishu za BH haziingii hapa hata kidogo, hebu kuwa na huruma mimi nina roho pia
shemela jamaanAnakupoteza huyo baba D
Basi subiri siku Cheusi Mangala atakapokuja kutambulishwa rasmi kwako akiwa na L. junior (K. mdogo wa D). Patachimbika eeeh!? Ila wanawake wa Kisambaa hawajulikani kwa ukali. Ingekuwa Mara kule tungekuwa na wasiwasi!msukuma siwezi mie moyo huo sina
Kumbe jina la peremende limeanzia huko![]()
![]()
![]()
sijui ndio kule wallet iliposahaulikaSafari ni safari.... Safari moja huanzisha nyingine
Ili awe na mama Kkwahiyo unataka nikufwe
Alafu waliniita hiyo siku bahati mbaya wewe ukachukulia siliasUchochezi huu sasa, wale wanaomuita mjombaangu eti baba K ni wahamiaji haramu
Mambo ya kidunia haya mkuuInakuwaje hujui aisee