shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
basi usimsaidie sana msaidie vya kawaida tuBinamu kwanza usiamini anachokisema mimi huwa namsaidia tu kutimiza wajibu wake
Sasa mbona unaenda kinyumeNdiyo nakumbuka tulivyokubaliana
hivi Baba D unanitafuta nini jamaan kwahiyo nikikufwa kumbe utafurahiKwa hiyo unataka ufe nibaki na cheus au
Ulipaswa ujue alipoHapana nilisema kumpa sapoti niko alone kwa sasa, ujue masomo ya uparoko niliacha sababu yake iweje leo niruke bila ya kujua mwisho wetu
Nmeshasema mm huyu shemela cio mtu mzuri kwa ustawi wa ndoa yngu![]()
na shemela tena mke mwee ukuje
Wewe huwezi ??wenye mioyo yaome tutagawana majengo aisee ya serikali
kama unanijali binamu me sitaki kusikia habari za vyeusi mangala
aisee, jamani mbavu zangu
kweli muungwanaHuyu muungwana sanaa![]()
![]()
![]()
Safari zingine hufa hata kabla hazijaanza. Na utamu wa safari mara nyingi unategemea na msafiri mwenyewe. Ni afadhali uahirishe safari kuliko kusafiri na msafiri mwenye "nyodo!" Azawaisi cha moto utakiona!.... Safari moja huanzisha nyingine
MuulizeShindwa pepo la vyeusi mangala
Mjomba bora umekuja, vipi ulifanikisha ule mchakato maana huku tayari nishakutafutia sababu ya kulala nje
duh aisee
na binamu mie sio mtu mzuri jamaanNmeshasema mm huyu shemela cio mtu mzuri kwa ustawi wa ndoa yngu
Obe aiseeHa ahahhahahaha, uparoko wako ungefukuzwa hata na Makapuchini uungane na deo kisandu
Hapo sasa, ngoja tusubiri jibuYaani unamuuliza mtuhumiwa wakati mashahidi wapo?
nisijue Baba D nijue unanisaliti lakini nisijue huyo mwanamke nitaua jamaanWewe huwezi ??