Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
yetu macho sieUtaona huko tuendako
yetu macho sieUtaona huko tuendako
shemela tukumbushe jamaan![]()
![]()
atukumbushe tuu
Wewe Shunie sasa pumzika toka asubuhi upo JF tu.Baba D jamaan ebu ukuje tu
hivi eenh niliingia asubuhi au mchana halaf bundle unaninunulia ww auWewe Shunie sasa pumzika toka asubuhi upo JF tu.
Ngoja nifikiche macho nione vizuri
ujue yeye kajitoa sijamuelewa shemela
kweli binamu umeamua kuweka siraha chini kwa mama mchuchu ni vizuri sana muachie mukongo wakeWewe utakuwa mtabiri hakyanani
2007Hii vita ni ngumu wapendwa. Wakiamua kufukua makaburi hakuna atakayebaki salama. Ila tukiipigana vizuri na kuweza kujitoa katika mamikataba haya ya kishetani, na tukaweza kuyatumia madini yetu haya kwa shughuli za kimaendeleo, tutaweza kupiga hatua za maana sana.![]()
hahahhh binamuBH mwenyewe hajanielewa na kila siku naimbisha utakuwa wewe shangazi yangu!!
Shemela nilikuambia akija Obe tu amani itaishhakama nakuona shemela na uchochezi wako
binamu ujue nakugawa bure na jana mama mchuchu hajanijibu kabisa kama atakuchukua bh
1/China![]()
Huyu ndo baba wa uzalislhaji wa dhahabu duniani![]()
Siyo tu kuzalisha bali pia anaitumia rasilimali zake vilivyo kuleta maendeleo kwa wananchi wake.....hakuna mikatahba ya kiMangungo wala upuuzi wa akina Acacia
Dhahabu inapatikana kwa wingi Shadong Province ambako ndo kuna reli ya Beijing hadi Shanghai
China ina hazina ya dhahabu isiyochimbwa Tani 1,900
Dhahabu yote inasimamiwa na serikali kupitia China National Gold Group
China huzalisha takribani Kg 255,000 za dhahabu kwa nwaka
.
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
........
Shukrani Mkuu.Wewe Shunie sasa pumzika toka asubuhi upo JF tu.
Kanikimbia sijui yuko wapi kwa sasa?Linamo je, shemela shunie mwangalie shemeji yako Nyagei
Wewe Shunie sasa pumzika toka asubuhi upo JF tu.
Unaweza kukuta mtu mwenyewe hana nyuma wala mbelehivi eenh niliingia asubuhi au mchana halaf bundle unaninunulia ww au
hahahhh shemela amani ipoShemela nilikuambia akija Obe tu amani itaishha