Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
hahaah Baba D inabidi mkionana na shemela shululu umfundishe vinywaji vigumu
ili apelekwe kwa vyeusi mangala,ctaki mm
inatoshahahaah Baba D inabidi mkionana na shemela shululu umfundishe vinywaji vigumu
ili apelekwe kwa vyeusi mangala,ctaki mm
inatosha
NipooBaba D ukuje jaman unakimbilia wapi sasa
Shemela taratibu kunharibia mumeSasa apo ndo inabidi ukizibue na vodka kwanza kilainikee
Na akienda harudii huyuu![]()
![]()
ili apelekwe kwa vyeusi mangala,ctaki mm
![]()
inatosha
Utakooma nahaushindi ng'ooo
Najaribu kumpa somoShemela taratibu kunharibia mume
Kufa hafi ila cha moto anakiona kama hajabebwa mpaka kwa mke mwee

Unaongelea dhahabu teh10/Uzbekinstan![]()
Inapatikana huko barani Asia![]()
Ikiwa ni jirani yake na akina Pakistan,Azerbaijan n.k
Migodi yao mingi mi mali ya Taifa(imetaifishwa)
Mmiliki/mgodi mkubwa ni Navoi Mining
Inazalisha Kg 90,000 za dhahabu kwa mwaka
Siongelei mchanga wa dhahabu mimi
.......
Mkisikia habari za vyeusi mangala we na mumeo mnafurahi sana jaman nini shida lakini
vyeusi mangalaNshakuona ww cio mtu mzuri kwa ustawi wa ndoa ynguNa akienda harudii huyuu
Vimefanyajee![]()
![]()
vyeusi mangala
Vbaya hvoNajaribu kumpa somo
Nitajaribu Heineken siku mojaUkinywa vingine
AsanteTOP TEN
baada ya kushiba togwa na ugali maharage leo mchana nikapata utulivu na kuwaza cha kuandika ila kila nikiingia mitandaoni nasikia tu makelele "mchanga wa madini" baada ya kupitia kwa makini nimegundua madini hapo dunia nzima isipokuwa tu sisi hayatunufaishi kutokana na kukosa viongozi wazalendo
Nchi nyingi mfano China na USA zinanufaika na rasilimali zao chache na hawaachi kitu....
Sasa basi tuangalie nchi 10 vinara wa kuzalisha dhahabu duniani yaani nchi ambazo huchimba madini ya dhahabu nchini mwao au ambazo migodi yao inazalisha dhahabu nyingi
Kumbukeni mgodi ni rasilimali ya nchi siyo wawekezaji
Karibuni
......
Ndo utajua kwa nini wanasema dunia inazunguka wakati hujawah kujikuta kichwa chini miguu juuNshakuona ww cio mtu mzuri kwa ustawi wa ndoa yngu
Swaumu gani huko kwenye maband yenu na binamu na vyeusi mangalaWaache labda wanasogeza swaum