Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Utani unaofanana na ukweliSasa mitoto ya stail hiyo unakuta mchana analala tuu..
Usiku analia hatareeee! Hakuna kulala yaaaani..
Bad enough, hataki kushikwa na baba yakeee..akishikwa na mtu mwingine tuu ni kilio..
Aiseee! Kama nakuona yaaani![]()
