Makapuku Forum

Makapuku Forum

5/Afrika Kusini
c39f0b07f1979309f9fc334f75227f77.jpg
4ce84b29142c45a041852f55312bb794.jpg
66b5998b7af2664e20400551457113ef.jpg

Nafikiri kila mtu amezoea kuona simulizi za migodini kupitia tamthilia ya Isidingo The Need
Dhahabu ndo chimbuko la Jiji la Johannesburg lililoanzishwa 1886
Ardhini ina hazina ya tani zaidi ya 6,000
Huzalisha Kg 190,000 za dhahabu kila mwaka
......
Na wanajua kuitumia hii hazina
 
4/Urusi
917b716727d87321b5a4facffe0c5706.jpg
b1c07a966ef6e084d2c8d02d1cd02e72.jpg
9e37b1d82fb00e316757e60f1a2e5c19.jpg
Huku ndo kwa yule jamaa wa Kumsamehe gaidi ni kazi ya Mungu lakini kumpeleka gaidi kwa Mungu ni kazi ya Putin....sasa fikiria ukiiba dhahabu yake/yao itakuwaje
Urusi ina hazina ya Tani zaidi ya 5000 za dhahabu
Huzalisha dhahabu Kg 200,000 kwa mwaka
.......
 
3/[USA
0f8eb1b1d260b36f80f7eb22bceff647.jpg
d442a4147c4309aa5572033794296c9e.jpg
df081875a91e9d9c3ac84c280a084916.jpg

Hawa nao wapo
Dhahabu linapatikana kwa wingi huko Las Vegas na Nevada
Dhahabu nyingi imehifadhiwa kwenye mavault huko New York City,Fort and Knox
Kwa mwaka huzalisha dhahabu Kg 237,000
........
 
7/Canada
e3f7d46fd9bfadfd7ec18a0d2c388e6b.jpg
b65af924d94e7975d88e4eed1dc152de.jpg
0d79708de5c1dff3204e3475cc700d00.jpg
Achilia mbali kilimo cha ngano ambayo wamediriki kuiweka kwenye bendera ya Taifa...Canada pia nimzalishaji mzuri wa dhahabu huko Amerika Kaskazini
Kiwango kikubwa huzalishwa huko Ontario....nafikiri mshaelewa kwanini jamaa fulani JF anajiita hivyo
Huzalisha Kg 110,000 za dhahabu kwa mwaka
......
Bitoz usidhani sikuoni hahaaa - mi mwenyewe kapuku. Watu wachache sana hapa TZ wanaelewa maana ya Ontario.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom