Pale sijaharibu, hata wewe ukiangalia nimeuliza tu swali wala sikuwa na nia ya kujiharibia ila ulipoanza sasa maneno yako na
Tumosa ndo mkaniharibia.
Niombeeni msamaha sasa maana mimi nimekosa hata cha kuongea, tangu lini mshumaa ukawa maua? Eti kweli
husna muba yaani umenipa maua halafu nasema mshumaa, si nimerogwa mimi?!