Utakatishaji wa fedha nk![]()
Lilikuwa likifanya uhalifu gani?
......
Alirudi jela mpaka pale alipofariki mwaka 1998Khaa!
Mwisho wako ikuwaje mkuu?
1955 - Alan Hansen anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Liverpool na timu ya taifa ya Scotland.
Alipostafu kabumbu akaenda kuwa mchambuzi wa soka wa BBC katika kipindi cha Match of the Day.
Moja ya kauli zake maarufu ni " You can't win anything with kids, ni baada ya timu ya Man Utd ilipofungwa 3-1 mechi ya ufunguzi wa ligi na Aston Villa msimu wa 1995/96.
Katika mechi hiyo Man Utd iliwapandisha makinda wake katika kikosi cha kwanza baada ya kuuza wachezaji wake mastaa kama Mark Hughes na Paul Ince, na kuwapandisha makinda ambao ni Gary na Phil Neville, Ryan Giggs, Nick Butt na David Beckham.
Lakini pamoja na kauli hiyo, makinda hao walikuja kutwaa Ligi na Kombe la F.A mwisho wa msimu na kumfunga mdomo Hansen.
Nukuu tafadhali bossNiko pouwa mkuu..
1986 - Mapacha Ashley na Mary-Kate Olsen wanazaliwa.
Ni wanamitindo na wafanyabiashara wa Kimarekani.
Mimi sikubali buana.... Lazima nikuwowe.... Unajua ukibaki bachelor humu unawakosesha watu amani.Ha haaa kitendawili mbona jibu lake lipo wazi. I will remain single here in makapuku!
Kawaida Mkikaa nyumba moja... Mabachelor na wenye wake zao... Lazima wale wenye wake wakose amani.Nani anakosa amani? Mtaje...
Mbona Nyagei yupo single?
Kawaida Mkikaa nyumba moja... Mabachelor na wenye wake zao... Lazima wale wenye wake wakose amani.
atakayekosa amani na mimi aniambie1980 - Florent Malouda anazaliwa.
Winga wa zamani wa Lyon, Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa.
Sio wewe ninaekusudia .....mimi ndo nahisi nawakosesha watu amani.kwa hio Lazima nipate... Hata ikabidi kutoa ngombe 40.![]()
![]()
![]()
![]()
atakayekosa amani na mimi aniambie
1986 - Keisuke Honda anazaliwa.
Kiungo wa Ac Milan na timu ya taifa ya Japan.
Kuwa na amani. Muda wangu wa kupata mume haujafika.Sio wewe ninaekusudia .....mimi ndo nahisi nawakosesha watu amani.kwa hio Lazima nipate... Hata ikabidi kutoa ngombe 40.
Mzeewakungoa uko poaMwangaluka bhabha...... Mwamisha mola?
My loveWe hujagundua anataka yale ya mama mchuchu hata kama ameokota barabarani,hata kama yamenyauka
Nakupa muda fikiria..... Ngombe 40 nimeshawanunua,Kuwa na amani. Muda wangu wa kupata mume haujafika.