Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Tunashukuru kwa segment yako mkuuTuwe na siku njema wanafamilia pendwa
Ila![]()
Tunashukuru kwa segment yako mkuuTuwe na siku njema wanafamilia pendwa
Ila![]()
Mimi hii ripoti sijaielewa kabisaIla hii ripoti ukiipitia inakuacha na maswali lukukii na kuzidi kukukanganya kwa mawazo yangu lakini ..mfano ripoti imesema kuhusu kuondoa hisa za serikal katika mikataba hii ya madini toka 15% mpaka 0% na mawaziri tofauti ok hatujui walifanya kwa maksudi au manufaa yapi ? Lakini sasa ukipitia sheria ya madini ya 73 yr na kurefer mikataba ya awali ya Acacia unaona Acacia wana hati ya kufanya hivo ..
Mambo ambayo tungelipata pa kuanzia kutokana na matokeo ya ripoti mfano nani waziri aliyeingia makubaliano ya 15% huo mwaka 1994 make nakumbuka vyema kulitokea mabadiliko ya mawaziri make 1990 hii wizara ilikuwa maji nishati na madini chini ya Jakaya Kikwete mpaka 1994 ...mwaka huo huo 1994 mpaka 1995 aliingia Jackson Makweta ...ingeweka wazi mwezi upi hii 94
Na wakati inaondolewa 10 nan alikuwa juu ya jambo hili ...waziri au mkuu wa nchi ??
Ila kiukweli Tanzania ina wenyewe kwa dizaini hii
Je JWTZ wataweza?
AsanteTunashukuru kwa segment yako mkuu
Pamoja kiongozi, shurani!View attachment 523103Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Obe nawatakieni siku njema
Lazima wahalifu wakaeJe JWTZ wataweza?
Mungu awasaidie wote mnaofunga na mpate thawabu sawa na mapenzi yake ;pole kwa wale ambao hawakujaaliwa kwa sababu mbalimbali, Mungu awasaidie, mbarikiwe sanasana kwa Ramadhan ,Ramadhan KareemMfungo 18 leo, Ramadhan Kareem!

Lakini kuna kiongozi hapo juu amekumbushia baadhi ya Operesheni ambazo JW ilizingua, kama OP tokomeza.Lazima wahalifu wakae
JW ni miongoni mwa majeshi ya kizalendo zaidi Afrika
Siyo nchi nyingine ambazo wanajeshi ni waasi
.....
Kasome katibahivi niulize kama hawa mawaziri walisaini hiyo mikataba marais waliowateua wanapona vipi ??
NaaheneKwani huku kwetu ikoje? Cyber Crime inakuonea tu hata kama hujavunja sheria? Simamia ukweli na uwe na proof na utaishi kwa amani mstarehe!
Asante mkuu Shululu ubarikiwe, asante Obe kwa udhamini ubarikiweView attachment 523103Mpaka hapo sina la ziada tukutane tena kesho Kwa udhamini mnono wa Obe nawatakieni siku njema
Hao wafungwa ilikuwa ni kama wapo vacation
Hiyo huenda kulikuwa na wakubwa Jeshi ni/serikalini wenye maslahi binafsi na Mauaji ya tembo/wanyamapori ndiyo maana wakazingua maana askari anamtii mkubwa wake kijeshi au wa serikalini sasa hapo watu wameegemea maslahi yao halafu nje wanatuzugaLakini kuna kiongozi hapo juu amekumbushia baadhi ya Operesheni ambazo JW ilizingua, kama OP tokomeza.
Tuwe na siku njema wanafamilia pendwa
Ila![]()