Makapuku Forum

Makapuku Forum

Una mdomo mzuri sana na sijui ni kwa nini unauita bakuli. Usimkufuru muumba bana...

Tuwe huru kusemeshana bila kutishana wala nini, japo kwa heshima. Sioni tatizo katika hili. Na hii kwangu ndiyo appeal kubwa ya Makapuku. Tutaelewana katika kila jambo? Of course not lakini hata katika kutoelewana kwetu heshima na upendo vitajidhihirisha. Ndiyo maana umenisikitisha uliposema eti ni afadhali ufunge bakuli lako. Why? Sema tu kama una la kusema ali mradi usiporomoshe matusi kama hawa wageni wanaokuja huku mara moja moja na kuchafua hali ya hewa.

Na kama hujui wewe ni shemeji yangu kwa sababu Shedede ni rafiki na mtani wangu sana. Juzi juzi hapa kanishirikisha wazo moja zuri sana la ujasiriamali. Ni nani anayeweza kufanya hivi?

Kuanzia sasa nitaanza kukuita shemela na kukupa heshima zako zote za ushemeji. Husna, umenielewa?
Busara zako mkuu..

Makapuku forever..

Jf forever..

One love forever..
 
039c0578819eccac7d884e25abf88e15.jpg
5e889c0b8630e5c49778d33f6efd14fe.gif
Hahahahaaaaaa
 
Kuanzia Soni, Kongei, dochi, IJA, Lushoto mjini, na viunga vyake hunipotezi
Mimi nilikaa Sochi na Sinza wakati nahangaika na vitabu ila na kule Mlalo pia
Lushoto napapenda
Kuna baridi hatari na kijani kibichi cha kufa mtu
Shida ilikuwa ni Bus la Shambalai Wasambaa wakijaa wanaanza kuzungumza na mate kumiminika km mvua
.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom