Makapuku Forum

Makapuku Forum

me nashika jembe juzi nilivyoenda tanga nilishika jembe
Ulishika jembe ukaliangalia weeee halafu ukaliacha kama lilivyo. Mtanange ni kwenda nalo shambani tangu asubuhi mpaja saa nane au kumi jioni unapalilia nyanya. Ndiyo maana niliwakaribisha mje Koromije mje mjionee. Naona machale yaliwacheza na mumeo mkasepa mpaka leo sijawasikia
 
Hiyo ya asubuhi mpaka sa 12 siwezi tena nitajifanya na ugonjwa umenishika
 
Harafu mikate sasa,wanapenda sana
Ila mabinti wa Kisambaa wanajua kupika,ukarimu
Achilia mbali weupe wao pamoja na mvuto waliojaliza
Mwaka jana mwishoni nilikuta IJA kumepoa tofauti na zamani kulikuwa na mademu kibao pale watu wa SEKOMU walipendelea kuchukua mademu pale haswa washamba wa Certificate
........
 
Shemela umemalizana na nani na mkianza kutozwa hela na pedeshee lee mjue me ndio napokea
Enzi hizi za Magu naona hata status ya upedeshee imeshuka. Mapedeshee yalikuwepo enzi za Mkwere bwana. Yanamwaga mapesa club tena in US $. Sasa upedeshee huu wa akina Lee huu mh! Mara dalali wa mademu hapa JF...
 
4ff797fe4fcf8bfbe9bc365c6ca4cfb8.jpg

12 Years A Slave
.......
Sijaelewa. Slave kwa miaka 12 kivipi Madenge?
 
Mimi nilikaa Sochi na Sinza wakati nahangaika na vitabu ila na kule Mlalo pia
Lushoto napapenda
Kuna baridi hatari na kijani kibichi cha kufa mtu
Shida ilikuwa ni Bus la Shambalai Wasambaa wakijaa wanaanza kuzungumza na mate kumiminika km mvua
.......
Kule nisha katiza maeneo machache..

Soni, Lushoto na bumbuli nimeenda sana..
 
Mimi nilikaa Sochi na Sinza wakati nahangaika na vitabu ila na kule Mlalo pia
Lushoto napapenda
Kuna baridi hatari na kijani kibichi cha kufa mtu
Shida ilikuwa ni Bus la Shambalai Wasambaa wakijaa wanaanza kuzungumza na mate kumiminika km mvua
.......
Ila huwa kuna swali najiuliza sana..

Ukifika maeneo ya Soni njia panda ya lushoto na bumbuli..

Watu waishi sana kwenye miteremko na vilima..sijawahi kuona sehemu/njia ya private car kwenda kwa mtu.

Sasa najiuliza na kama kule watu hawmiliki magari au wana sehemu maalumu za kupark..

Watu wa bumbuli mnisielewe vibaya. Please.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom