Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Karibu sanaNajiunga na makapuku wenzangu tuliendeleze gurudumu, naomba kukaribishwa.
Karibu sanaNajiunga na makapuku wenzangu tuliendeleze gurudumu, naomba kukaribishwa.
Lala salama pia mkuuMlale salama wapendwa. Na wenye mipango ya kuwajaza wenzenu mkumbuke slogan ya tigo. Tuonane kesho Muumba wetu Akitujalia....![]()
![]()
AmenNawatakieni usiku mwema makapuku wote Mungu awalinde
YOELI 2

Kule ni safu za Milima ya Usambara yaani Mombo hadi Lushoto--MlaloIla huwa kuna swali najiuliza sana..
Ukifika maeneo ya Soni njia panda ya lushoto na bumbuli..
Watu waishi sana kwenye miteremko na vilima..sijawahi kuona sehemu/njia ya private car kwenda kwa mtu.
Sasa najiuliza na kama kule watu hawmiliki magari au wana sehemu maalumu za kupark..
Watu wa bumbuli mnisielewe vibaya. Please.
ShalomYOELI 2
WITO WA TOBA
12."Lakini hata sasa" nasema mimi Mwenyezi -Mungu ,"Nirudieni kwa moyo wote ,kwa kufunga,kulia na kuomboleza.
13.Msirarue mavazi yenu kuonesha huzuni bali "Nirudieni kwa moyo wa toba."
Mrudieni Mwenyezi-Mungu ,Mungu wenu;yeye amejaa neema na huruma;hakasiriki upesi,ni mwingi wa fadhili daima yu tayari kuacha kuadhibu.
SHALOM !! NAWATAKIA USIKU MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
Waweekee pichahapana kitu hakiwezekaniki mtoto wetu jina lake linaanzia na D
Mkuu tumefikishana hapa ??Basi shunieeee...
Weww ni mama D
Lee ni Baba D
Sakayo ni mama D
Transcend ni baba D
Vina mwanzo mwishooo![]()
Typing error mkuu..Mkuu tumefikishana hapa ??
Kuwa silias utani usipitilize plz and plz
nawe pia mamaYOELI 2
WITO WA TOBA
12."Lakini hata sasa" nasema mimi Mwenyezi -Mungu ,"Nirudieni kwa moyo wote ,kwa kufunga,kulia na kuomboleza.
13.Msirarue mavazi yenu kuonesha huzuni bali "Nirudieni kwa moyo wa toba."
Mrudieni Mwenyezi-Mungu ,Mungu wenu;yeye amejaa neema na huruma;hakasiriki upesi,ni mwingi wa fadhili daima yu tayari kuacha kuadhibu.
SHALOM !! NAWATAKIA USIKU MWEMA MBARIKIWE![]()
![]()
usimsahau mchiziWaweekee picha
HahaaaaaaaaTyping error mkuu..
Mimi na wewe ndugu.
Mkuu tumefikishana hapa ??
Kuwa silias utani usipitilize plz and plz
Ubarikiwenawe pia mama

Karibu sana nduguNajiunga na makapuku wenzangu tuliendeleze gurudumu, naomba kukaribishwa.
Amen nawe pia barikiwaMlale salama wapendwa. Na wenye mipango ya kuwajaza wenzenu mkumbuke slogan ya tigo. Tuonane kesho Muumba wetu Akitujalia....![]()
UbarikiweNawatakieni usiku mwema makapuku wote Mungu awalinde

Iko vizuri![]()
New fashion
Full kiyoyozi
......
Rupita Amondi Nyong'o Mexican- Kenyan Actress..born in Mexico by Kenyan parents raised in Kenya..yuko vizuri sana![]()
12 Years A Slave
.......