Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nakuoooonaaaaaa......Hakuna lisilowezekana chini ya mbingu
Nakuoooonaaaaaa......Hakuna lisilowezekana chini ya mbingu
Usiku hamna tena si umesema utakua unaweka mara mbili story nzuri umetuonjesha kidogo ile ya shedede haielewekia mwanzo wala mwisho wala kati katiAlfajir mama D
AnajuaIla sakayo ni mke wa mtu, mumewe anaitwa T
Ndiyo hivyo hakuna namna Mkuu.Unaona eeh..... Kashapata waungaji mkono.
NakuooonaaaaToka
Analinda mali zakeNakuonaa nakuonaaa
Basi dada nikikupigia simu au ukinipigia nitakusimuliaAaah
Mie Siwezi bhana
We si umejiunga jf Janaaa?????Wallah vile nimekuwa nikikuona humu na kufuatilia namna unavyohendo maisha ya humu JF. Hakika unafaa!
Moyo wangu umekuridhia!
Aje harakaNawaooonaaa
Ngoja mr T killer aje
Shemela siwezi ningemtumia voice note ila wasap hayupo na jf hamna opt hiyoDada yako kabisa, shemela muadhithie tu
Asituchore anajua kila kituHuyo ni mke wa mtu na mumewe yupo humu
Dalali naona una details zote dah!Mwenyewe hajui halipoo
Ameona inamzibia rizik
Nikiwezaaa ntafanya hivoooUsiku hamna tena si umesema utakua unaweka mara mbili story nzuri umetuonjesha kidogo ile ya shedede haielewekia mwanzo wala mwisho wala kati kati
Kwa kweeeli, nina wasi wasi na mzee![]()
![]()
![]()
inawezekana ujue
Hahaha.![]()
Changu macho
Unaloooo!!!Acha kumuita shunie mkuu ni shemeji wako
ukiniacha unipe taarifa ili nijiandae kisaikolojia naweza kukufwa ukapata kesi ya mauajiMnyongaji akiwa chini ya himaya atanyongaje?Kama mtu hajanyongwa sijui