Makapuku Forum

Wazungu nao ni viumbe kama waafrika
 
[emoji524] METHALI 16

1.Binadamu hupanga mipango yake,lakini kauli yamwisho ni ya Mungu.

2.Matendo ya mtu huonekana kwake kuwa sawa,lakini mwenyezi Mungu hupima nia ya mtu.

3.Mwekee Mwenyezi Mungu kazi yako,nayo mipango yakobitafanikiwa

MUNGU AWABARIKI WAPENDWA WANGU[emoji7] [emoji7]
 
Ubarikiwe kwa Nukuu T wa Sakayo[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji123] [emoji123]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…