Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaWeee! Mchana wewe si ulikuwa home kutwa nzima..
Mimi nimerudi saa 4 usiku bado unataka tumalize buyu lotee la asali
Basi Sawa tuu
HahahaWeee! Mchana wewe si ulikuwa home kutwa nzima..
Mimi nimerudi saa 4 usiku bado unataka tumalize buyu lotee la asali
Ni matunzo tuuUnazeeka bado u mbichiiii ...
Siku tukimaliza mazoezi ya kwaito tunaingia Gym mkuuSiamini haya maneno yanatoka kwa madam
Au T alianza kukutrain yale mafunzo?
HahahaSiamini haya maneno yanatoka kwa madam
Au T alianza kukutrain yale mafunzo?
HahahaTutamuita Don huyo...![]()
Nipo mkuu..Wanamuonea bhinamu
Uko poa mike .???
Uzazi salama, boss hapo tezi dume ni simulizi tuDalton
Donald
Duncan
Doroth
Darlene..
DamianNa saivi nina kijacho
Hahaaaaa!Katibu mambo yako byeeee
Jovitha anakusalimia anakumbuka ule mkwara wa sku ile
Nakuona le dictator Mussolin5Leo Katika Historia:
Leo ni Juni 9, ni siki ya 160 toka mwaka huu uanze na zimebaki siki 205 kabla ya mwaka huu Uishe.
Tuangazie matukio yaliyojiri tarehe na mwezi kama wa leo miaka iliyopita.
Kazi yako itakuwa kuorodhesha majinaDamian
View attachment 521526Kutoka magazetini sina la ziada, kwa udhamini mnono wa ipogolo, nawatakieni ijumaa njema
shukran baba watotoNatamani nipate time ya kupitia visa vya hawa jamaa nilete nyama hapa..1968 - Rais wa Marekano, Lyndon B. Johnson anatangaza siku moja ya maombolezo kufuatia kifo cha Seneta Robert F. Kennedy.
HakunaaaNi matunzo tuu
Marahaba mlinzi

Sawa bossMwache kwamza..
Sakayo mwenyewe anamtosha..
Manake kuna vitu vinashamfundisha sakayo..
Fanya hivooNatamani nipate time ya kupitia visa vya hawa jamaa nilete nyama hapa..
Wa kike huyo ajayeTutamuita Don huyo...![]()