BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
ID ya zamani bila shaka itakuwa ulishamtolea nje na sasa ameamua kujisulubu upya. Ila wanawake kusema kweli mna kazi. Imagine kutongozwa hivi kila siku. Mi ningekuwa napigana kila siku![]()
mkuu kupigana kabisa,haifai ukijitambua ni rahisi sana utajua tofauti ya hayo yote...majaribu hayanabudi kutokea ,na Mungu hutengeneza njia na milango ya kutokea ukijitambua utaiona na utatoka tu,ila ni mchakato mgumu sana..na ndio maana unaona wanawake wanafall kuwa victims..usipoelewa wanachopitia utawapa kila jina..Mungu atusaidie sana kusaidiana kuwafanya wanawake waweze kuona dunia ni mahali pazuri pa kuishi.