Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,369
- 12,469
Kwemaa??nipo Baba D wangu mimi apa
Kwemaa??nipo Baba D wangu mimi apa
Nzur mkuu nipo na mama kipenzi changu roho yangu umjuaye shunyHabari za porini lee!!
Hahaha, kwema lakini!!?Nzur mkuu nipo na mama kipenzi changu roho yangu umjuaye shuny
me sipo jukwaa lolote nimeingia nipo humu tuMleteee
Nasikia ndio ana CV ya kuchezea buti za Mama Mchungaji. Ila Kiukweli si jambo rafiki kwa ustawi wa Afya zetu. Yanini kuongezeana ma jakamoyo na huzuni zisizokwisha kisa penzi. Agrrrrrrr

Kwemaa kabiisaaHahaha, kwema lakini!!?
Nakupendajeme sipo jukwaa lolote nimeingia nipo humu tu
jina lako zuriJamani ninawasalimu nyote humu
Amenme mzima mama yangu ubarikiwe sana na wewe
kasoro mimi peke yanguNatambua hilo leo wamekusakama wengiii
Na uzuri mama mchuchu tunakuja na plan B
nimeshakuja mke mweeAnakuja shemela yko jikoni anapika
sawa sawaSawa
Mkuu bahati ya mwezio haitakiwi kulaliwa mlango wazi. We nadhani atakuwa alianza kukufanyia "screen shot" tena pengine kuanzia kwenye profile pic yako. Ina ukakasi mkubwa sana.
kaka shikamooNimewasili rasmi mkuu
Asante Bitoz1/Danyang--Kunshan Grand Bridge![]()
![]()
Limejengwa/limekatiza katika njia treni High speed Railway ya Shangai hadi Beijing huko nchini China
Ni eneo korofi kijiografia
Ndiyo daraja refu zaidi duniani
Lina urefu wa Km 164.8
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
......
mmhWanyarwandaaa hawaaaaa jamaniiiiiii....yerewiiiiii
hahahhaha asante zimetuchosha....hata ayaokote tu barabarani mimi sitojali, maua ni maua
hahahhahaYaani sijui kwanini sina imani na pole yako. Anyway ndo mtazamo nilionao