Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
Kile mzee wakeKipiii si vipo vingii
Kile mzee wakeKipiii si vipo vingii
HakikaMafuta ndo tutayasoma namba
Nimependa mawazo yako,naamini yatatujenga ..naamini yatapokelewa na kufanyiwa kazi ,karibuMakapuku, sijawahi kuwa na topiki hapa na najifunza. How did I do today (Stupid Criminals hapo juu)? Ni wazo zuri hili au niachane nalo? Ushauri wo wote utasaidia (format, presentation n.k). Bitoz, Obe, Lee...ushauri please.
Nina mawazo mengi hata nafikiria kuanzisha darasa la Falsafa hapa. Kila siku tujadili wazo moja tata la kifalsafa (mf. Wewe ni nani? Tuna haja ya kukiogopa kifo?..). Lengo ni kuipa Makapuku sura mbalimbali. Pamoja sana!

Umeonaa#kutoka_bungeni
Kwenye kufuta apa ada ya leseni ya magari nawapigia makofii make gari umelipaki ndani lakin lazima lilipiwee ...shabashiiiiii
Mafuta sasa mzeeUmeonaa
I see uchoyo ni roho kamili yaani Salad?(2) Dad, pass the salad PLEEEEESE !!!![]()
I see,halafu?(3) Pengine we ni domozege. Unapiga moyo konde unamtokea binti. Halafu anakukatalia tu tena wakati mwingine bila sababu. Brother Paez has the answer on what you should do next...![]()
Yasiyothaminiwa ni hizi nyumba zetu za kawaida za makapuku?#kutoka_bungeni
'Kodi kwa majeng yasiyothaminiwa itakuwa tsh 10,000 kwa kila nyumba na tsh. 50,000 kwa kila ghorofa
Kwakweli!![]()
![]()
![]()
![]()
duniani kuna mambo!!