Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
YerewiiiiiiMwambie aninyonge mkuu mi simuogoppi member yeyote humu awe mchinjaji au mnyongaji
Tumekutana humuhumu na tutaachana humuhumu
YerewiiiiiiMwambie aninyonge mkuu mi simuogoppi member yeyote humu awe mchinjaji au mnyongaji
Tumekutana humuhumu na tutaachana humuhumu
Yap huku bdio chimbo la madini yote..Watakujaa tu
Ila wewYaani we ukimuonaga papaa werason unavurugwa kabisaa hapana chezea mukongo man
😵 😵 😵 😵 😵Roho imeniuma kiasi cha kufa, imebidi ni "like" tu vile na mimi yupo kwenye mishapa ya fahamu zangu. Ila naamini ipo siku atanielewa.
"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
Watakuwa wamechuliana mabwana haooShida nini ndugu?
Umeona eee Husna Muba![]()
2009 - Omar Bongo anafariki Dunia.
Alikuwa ni Rais wa Gabon ambaye amekaa madarakani kwa miaka 25 mpaka kifo chake kinamkuta.
Kwasasa nchi inaongozwa na mwanae.
Alisepa matokeo yalipotoka Marekani mara![]()
Walimzika fasta wakisingizia kufuata tamaduni za dini ya Kiislamu ambayo inataka mtu akifa azikwe haraka![]()
![]()
Soyinka ni bonge la mwandishi level za akina Ngugi wa Rhiong'o siyo huko kwetu tuna maprofesa akina Lipumba
Nimesoma baadhi ya vitabu
Wakati wa kampuni za urais alisema Mbaguzi Donald Trump akishinda basi atasepa maana hawezi kuongozwa na huyo mpuuzi
Na kweli akasepa !!(au hakusepa?)
.......
Ohoooo....Watakuwa wamechuliana mabwana haoo
Anaishi wapi hivi sasaAlisepa matokeo yalipotoka Marekani mara
Achana naoOhoooo....
Ndio huyo huyo Raos wa Maisha.![]()
![]()
Si ndo aliyekuwa akijiita Rais wa maisha au ?
Nafikiri huyu jina lake ndo chimbuko la Dar/Tz Kuitwa Bongo
......
Yanga kama kawa ushindi. Nyau atageuka chui wa Kenya.Pamoja sana bitoz
![]()
Walimzika fasta wakisingizia kufuata tamaduni za dini ya Kiislamu ambayo inataka mtu akifa azikwe haraka![]()
![]()
Soyinka ni bonge la mwandishi level za akina Ngugi wa Rhiong'o siyo huko kwetu tuna maprofesa akina Lipumba
Nimesoma baadhi ya vitabu
Wakati wa kampuni za urais alisema Mbaguzi Donald Trump akishinda basi atasepa maana hawezi kuongozwa na huyo mpuuzi
Na kweli akasepa !!(au hakusepa?)
.......
unajua kila kitu mkuuYap,ila ujue kuna watu wanaumiaaaa wanatamani wao ndio wangekuwa mukongoUmeona eee Husna Muba![]()
Kwema mkuuSalama Mzee ?
Mimi ndioIla wew
Humu tunaishi makapuku. Wewe ni tajiri tena msomi, tutakuweza? Tajiri kuingia ufalme wa mbingu mmhhh?Hodiiiiiiiii
Naombeni seat m Mgeni ukapukuni