Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Tuheshimiane mkuuWatakuwa wamechuliana mabwana haoo
Tuheshimiane mkuuWatakuwa wamechuliana mabwana haoo
Naamini ipo siku mi nitaletewa zaidi ya hayo.Weraaaaaaaaaa
HBD Kanye West1977 - Kanye West anazaliwa.
Ni mwanamuziki wa Hiphop toka Marekani.
Bitoz hakopeshi. Blue ni blue.![]()
![]()
![]()
makavu live
HBD Barbara Bush1925 - Barbara Bush anazaliwa.
Ni mke wa Rais wa zamani wa Marekani, George H.W. Bush
Pia ni mama mzazi wa Rais wa zamani wa Marekani, George W. Bush
Hi ni kwamba alikimbilia wapi baada ya matokeo?Alisepa matokeo yalipotoka Marekani mara
Liongoo ilooo....Ohoooo....
Achana nao

Karibu sana na tunashukuru kwa uhakika wa usalamaUnapoona kuna moderator around basi ujue safety imezingatiwa hapo.
ubarikiweTutaonaaYanga kama kawa ushindi. Nyau atageuka chui wa Kenya.
Pole zao sana2009 - Waandishi wawili wa Kimarekani wanakutwa na kosa la kuingia Korea Kaskazini kinyemela, hivyo wanahukumiwa kwenda jela miaka 12.
Tuheshimiane mkuu
Yataka moyoNaamini ipo siku mi nitaletewa zaidi ya hayo.
"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
Utapata tuuKuna mtu nakambia nikija napata likes 100 zikowapi sasa?![]()
Humu tunaishi makapuku. Wewe ni tajiri tena msomi, tutakuweza? Tajiri kuingia ufalme wa mbingu mmhhh?
humu utajiri na usomi wake itabidi aviache kandoNawe piaMchana mwema makapu wenzangu.....
So sad1967 - Vita ya Siku Sita: Meli ya Kivita ya Marekani The USS Liberty yashambuliwa kwa bahati mbaya na Ndege za kivita za Israel na kuua watu 34 huku 171 wakijeruhiwa.
kamoooPole zao sana
Kijani ni kijaniBitoz hakopeshi. Blue ni blue.
