Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Aisee.. Hiyo mikwara mi ndio siipendagi asee wote ni member Wa jf km we ni mnyongaji ni huko kwenu humu tunachati then kila mtu na life lake tangu niingie jf sijawahi kugombana na mtu afu hata ukinitusi sitaweza kukurudishia nakupotezeaNafikiri tutajuana siku mmoja akipita kwenye anga la mwingine, take care
Hakuna cha team b wa LA team o member wote ni sawa tu

