Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
HaaaaahaaaaAhaaaaah namuonaa namuonaaa na obe wakee
Jichanganye tuTatizo la chit chat hii ni kujuana
Na wewe si utengane?Mzee baba member tunatengana jukwaani![]()
![]()
Pamoja sana bitozNajua Thimbwa leo mnajigeuza chui(AFC Leopalds) kisa wote nyie ni jamii ya paka
.
.
.
.
Ahsante mdau kwa magazeti
......
Anapima upepoo kwanzaaNa wewe si utengane?
![]()
![]()
![]()
Tatizo mnapenda kushobokewa
Humu hashobokewi mtu
Km mtu anapapenda ni jukumu lake mwenyewe kujichanganya na siyo blah blah
Mfano hujamquote mtu yoyote halafu ukakaushiwa ila kelele nyingi
.......
Mbona unamwita Demi tena...... Si Umesema yuko na Obe.Nakuonaaa nakuonaaa
Demii njooo
Kama sheria ni ku-qoute nitakuwa najitahidNa wewe si utengane?
![]()
![]()
![]()
Tatizo mnapenda kushobokewa
Humu hashobokewi mtu
Km mtu anapapenda ni jukumu lake mwenyewe kujichanganya na siyo blah blah
Mfano hujamquote mtu yoyote halafu ukakaushiwa ila kelele nyingi
.......
Ni mihimili mitatu ya dola siyo "serikali"Ha hahahhahaaa, unaweza kuitafasiri picha hii kama mihimili mitatu ya serikali inavyolinda mikataba ya madini raia yeyote asihoji
Ni mihimili mitatu ya dola siyo "serikali"
Yaani bunge,mahakama na serikali
.......

AsanteNi mihimili mitatu ya dola siyo "serikali"
Yaani bunge,mahakama na serikali
.......
UF...![]()
Love![]()
Wachina hawaishiwi ubunifu.
.
.
.
Ahsante mdau kwa facts
......