Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Demi namuona namuonaaaKweli Rafikiiiiii
Demi namuona namuonaaaKweli Rafikiiiiii
Wapi? Mbona mimi simuoni? Ha ha haDemi namuona namuonaaa
Ahaaaaah namuonaa namuonaaa na obe wakeeWapi? Mbona mimi simuoni? Ha ha ha
Milele amina ...Hallelujaaah..... Bwana Yesu asifiwe.....nawatakia siku njema.
Wataka umuegeshe kwa Obe kwa sababu Unajua kwa ukitaka tu utamnyanganya eeh? Ntakusemea kwa dada wewe.Ahaaaaah namuonaa namuonaaa na obe wakee
Yeeeeereeeewiiiiii...Wataka umuegeshe kwa Obe kwa sababu Unajua kwa ukitaka tu utamnyanganya eeh? Ntakusemea kwa dada wewe.
Shunie njoo huku harakaYeeeeereeeewiiiiii...
Unamjua fika akijaa usijitetee make we kila siku unataka umvurugeShunie njoo huku haraka
Pamoja sana wadauAsante kutoka magazetini mkuu shululu
Morning Makapuku.
Ahsante Shululu kwa kunisogezea Font ferd za magazeti.
Asante mkuu kwa kutuhabarishaa
Mimi nataka nimvuruge lakini simvurugi lakini wewe unamvuruga.. Kesi unasukumia kwangu ha ha ha ha ha.Unamjua fika akijaa usijitetee make we kila siku unataka umvuruge
Asante mkuuView attachment 521106Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Lee empire
Nawatakieni wote siku njema
Salama Mzee ?Morning Makapuku.
Ahsante Shululu kwa kunisogezea Font ferd za magazeti.
Najua Thimbwa leo mnajigeuza chui(AFC Leopalds) kisa wote nyie ni jamii ya paka
Nakuonaaa nakuonaaaMimi nataka nimvuruge lakini simvurugi lakini wewe unamvuruga.. Kesi unasukumia kwangu ha ha ha ha ha.