Makapuku Forum

Makapuku Forum

51a3a45de2f6f45cf050e4d3994a479a.jpg
3a1f6856e6a9b5ea5c2526c5a3d958cb.jpg

Walikuwa ni Laura Ling na Euna Lee
Wote walikuwa ni maripota wa TV ya huko California
Kila mmoja alihukumiwa miaka 12 jela ila nafikiri baadaye waliachiwa kidiplomasia
Wangekuwa waandishi wa kibongo Sizonje angewapotezea tu
Wenzetu wanawajali raia wao
.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom