Morning mama mchungajiMorning mkuu Shululu
Asante mkuu kwa kutuhabarishaaView attachment 521106Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Lee empire
Nawatakieni wote siku njema
AmeenAmen,Mungu awatangulie waislamu wote mnaoshiriki ibada hii muhimu,na awape sawasawa na mapenzi yake,na siku zinaenda Najua Mungu ana zidi kuwabariki tunawaombea
Ramadhan Kareem![]()
Unajua kwa nini?kanichukia ghafla!
Kipenzi rafiki ...Unajua kwa nini?
Ha ha ha ha ha.... Rafiki kipenz.... Inatakiwa urafiki wetu uongezekeKipenzi rafiki ...
Sijamchukiaa ulikuwa upuuzi wa lee
GoodView attachment 521106Kutoka magazetini sina la ziada tukutane tena kesho muda na wakati kama huu kwa udhamini mnono wa Lee empire
Nawatakieni wote siku njema
UshaongezekaaaHa ha ha ha ha.... Rafiki kipenz.... Inatakiwa urafiki wetu uongezeke
Kweli RafikiiiiiiUshaongezekaaa