AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Morning mkuu ShululuMorning all kapuku
Sorry bhinamu ....ila muhimu turudi kwa mtaalamuUtaniharibia sasa anko, hujasikia kanikataa mchana kabisa afu usiku gizani ananikonyeza, nitamuonaje sasa?
😱 😱 😱 😱 😱Ha hahahhahaaa, unaweza kuitafasiri picha hii kama mihimili mitatu ya serikali inavyolinda mikataba ya madini raia yeyote asihoji
Huyu mzee yupo kwelii