Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tafakar ya kirat
aa312398a8b30c4725b0fbbdef60daf5.jpg
 
Zamani nilikuwa nalaumu sana mfumo wa Wamarekani ambako kuteuliwa/kugombea nafasi ya uongozi wa aina yo yote ni lazima uwe na kazi inayoeleweka; na mara nyingi uwe na pesa zako mwenyewe za kutosha. Kumbe wako sahihi. Ndiyo maana wenzetu wale kakosa kadogo tu mtu ameshajiuzulu. Na kuteuliwa halafu wakakataa ni jambo la kawaida. Trump amehangaika kweli kumpata mtu wa kumteua kushika u director wa FBI. Kila anayemuomba jamaa wanakataa. Why? Kwa sababu tayari wana hela zao. Sasa hawa wanasiasa wetu hawa wachumia tumbo ni shida tupu yaani hata aibu hakuna.
c6ff0feaea5513d27e83cc92fce52337.jpg
Inasikitisha na hakika tutarajie chochote,tusije shangaa
 
Katika dondoo za bbc ...

Waingereza leo wanapiga kura katika uchaguzi mkuu wa nchi hiyo.

Leo ni siku ya Bajeti kwa baadhi ya nchi za Afrika Mashariki.

Tume huru ya Uchaguzi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo tuhumani kwa kuendesha polepole zoezi la Usajili na vitendo vya rushwa.

Serikali ya Tanzania kwa mara ya kwanza yaanza matibabu ya upandikizaji wa vifaa vya kusikia kwa watu wanaozaliwa wakiwa viziwi.

Na takwimu zinaonesha kuwa Somalia inaongoza duniani kwa watu wenye magonjwa ya akili.
Hongera Tanzania kwa upandikizaji vifaa vya usikivu,Mungu abariki kazi hii na kuwasaidia walengwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom