Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,509
- 94,639
Nini kimempata obe?Bhinamu obe pole na maumivu
Nashukuru sana kutuletea kibao hiki kweli nyuz zinatekenywaaa kweli kweliii ...ndio kutekenywaa
Anyway yote mapito leo mukongo hujui kesho nan
Nini kimempata obe?Bhinamu obe pole na maumivu
Nashukuru sana kutuletea kibao hiki kweli nyuz zinatekenywaaa kweli kweliii ...ndio kutekenywaa
Anyway yote mapito leo mukongo hujui kesho nan
Hawa wanafaa sana wakikaa pale magogoni maana wataendana tabia na mwenye nyumba.
husna mbona humu hamna ushirikiano?..hata shunie mwenyewe humu ameuchuna balaa..
wazoee tuAbeeMakapuku
Unanitafuta manenooNini kimempata obe?
Rafiki kipenz Mbona Umekuwa mkali ghafla?Unanitafuta manenoo
Aisee huku SUMBAWANGA leo kimenuka aiseeNzuri kamanda... Lete khabari mpya
Pamoja Mkuu1/Olm![]()
![]()
Hawa ni amphibia waishio kwenye maji ya chinichini
Hupatikana huko Italy, Croatia na Slovenia
Upendelea kujificha kwenye mapango
Wana jeuri ya kukaa bila kula kwa muda wa miaka 10
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
New story Shedede?Aisee huku SUMBAWANGA leo kimenuka aisee
Elfu kumi yageuka ndege(mbayuwayu)
Ndani ya soko la hapa SUMBAWANGA mwanamama mmoja wakati akinunua samaki ile anataka kulipa atoe pesa kwenye khanga yake anakutana na ndege aina ya MBAYUWAYU
kilinuka aisee jamaa anayeuza samaki Kang'aka anataka pesa yake "nipeleke kwa aliyekupa hiyo pesa atakuwa ni MCHAWI tu" maneno aliyazungumza muuza samaki kwa ghazabu kubwa.
Aisee msubir part
Bby vip![]()
wazoee tu
Hapana iyo ni live imetokea huku SUMBAWANGANew story Shedede?
Hapana aisee...umempa pole sasa nahitaji kujua nini kimempata ili na mimi nimpe pole. si vzr nikapuuzia..hebu nambie tafadhali.
.
.
Obe nini shida my?
Muziki na Mapovu Makanikia bila kuwa Makini
Utatoa hutoi, ndivyo kibwagizo cha singeli moja inasikika kwa mbali, najipitia zangu tu kurudi home maana tayari nishaingiza siku kwa deni. Yeah, kukopa ndo ubinadamu huo, tunakopa na kukopesha, tunakopeshana kuanzia mali hadi mwili. Hongera kwa mliokopa leo. Tunakopesheka.
Jumatano inaenda kuisha, na bila kujali muda huu tunarudi kuburudika na muziki huku kama kawaida maneno sikiza mwenyewe , kipengele kinaangalia utamu wa gitaa.
Nilitamani kuweka kibao cha kukataliwa kubaya kukataliwa matesooooo matesoooo lakini nikagundua kuwa nitakuwa ninajiumiza bure bila malipo. Ninasonga na usiku huu tumewaona wote wenye shobo walioamua kubugia foma gold (bila makanikia) na spaleta moto ili kushambulia jukwaa hili, tuwakaribishe. Tuko pamoja
Bendi ya Msondo (kwa ombi maalum la Shunie na anko lee empire ) inaweza kuwa bendi maarufu kabisa kwa hapa Tanzania tangu tumepata Uhuru, imebadili majina mara kadhaa kutokana na umiliki na mambo kadhaa lakini mtindo wake umebaki kuwa alama yake, msondo ngoma.
Inaundwa na wanamuziki maarufu na badhi washatangulia mbele ya haki lakini nani anaweza hata kuwakumbuka wapiga gitaa walionogesha sauti za kina Guruma, Bitchuka, Moshi, Jumbe na wengine, sana sana mtamkumbuka Romario na kidevu chake akipuliza midomo ya bata.
Kwenye clip hii hebu angalia na usikize gitaa la mtaalamu Said Mabera, lakini pia wapigaji wengine maarufu wa Msondo ni pamoja na Uvuruge bila kumsahau Pangamawe Ridhiwani
Burudika mdau na nianwapongeza wote mliomeza foma gold bila makanikia kuisema makapuku forum bila kutafuata ukweli wake. Hongereni
Unanitafuta manenoo
MhAisee huku SUMBAWANGA leo kimenuka aisee
Elfu kumi yageuka ndege(mbayuwayu)
Ndani ya soko la hapa SUMBAWANGA mwanamama mmoja wakati akinunua samaki ile anataka kulipa atoe pesa kwenye khanga yake anakutana na ndege aina ya MBAYUWAYU
kilinuka aisee jamaa anayeuza samaki Kang'aka anataka pesa yake "nipeleke kwa aliyekupa hiyo pesa atakuwa ni MCHAWI tu" maneno aliyazungumza muuza samaki kwa ghazabu kubwa.
Aisee msubir part
Nawashangaa wananipa pole kisa umenikataa, badala ya kunipa Hongera kwa kukataliwa, sijui wa wapi hawa.
Sasa na wewe unataka kunipa pole au?

kanichukia ghafla!Rafiki kipenz Mbona Umekuwa mkali ghafla?