Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,190
- 34,526
Asante mam ha ha ha nitamsalimia hata usijalinakutakia mfungo mwema mmalize salama dear msalimie mshkaji wangu
Asante mam ha ha ha nitamsalimia hata usijalinakutakia mfungo mwema mmalize salama dear msalimie mshkaji wangu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] leo binamu umemtupa?sizitaki habari zake shemela anazonipa
Wewe shemela[emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji3] [emoji3]in Diva's voice
NipoooHuwa namuona kwa mbali tu mke mweee
Ningefanyaje sasa[emoji134] [emoji134][emoji2] [emoji2] na we ukakubali na huo uongo
Ila wewe unapanda shambalaishemela umeanza uongo ujue kwa sakayo tunapanda raha leo au simba mtoto
Aisee3/Mamba![]()
![]()
Ukimuona mamba anakulakula ujue huyo ni fisadi tu
Wana uwezo wa kukaa miaka 3 bila kula
.......
Mie niko siasani bhanashemela umeanza uongo ujue kwa sakayo tunapanda raha leo au simba mtoto
[emoji120] [emoji120] [emoji120]jamaan nakupenda pia mke mwee mke wa shemela wangu mimi apa Mungu awatunze
Asante mkuu .....1/Olm![]()
![]()
Hawa ni amphibia waishio kwenye maji ya chinichini
Hupatikana huko Italy, Croatia na Slovenia
Upendelea kujificha kwenye mapango
Wana jeuri ya kukaa bila kula kwa muda wa miaka 10
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane kesho
Mwisho
.......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]yaan binamu huo mstari wa mwisho najua muhusika ni mimi
Anamjua, ila hajamzoea kivileembona mumeo kasema unamjua ngoja akija nitakutambulisha
Namuona anatukumbusha arosto buanadenoo hahha ebu acha kumzungumzia lege usitukumbushe machungu ujue jana nilivyoona notification zake nikajua anaweka mke mwee unamuona denoo
Afande shedede niajeWakuu habar za jioni