Makapuku Forum

Makapuku Forum

1 YOHANA 5

14. Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake,ya kuwa tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake,atusikia.

TUOMBE

Asante Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwa mabaya yote tuliyotenda kwa mawazo ,maneno,matendo na kwa kutotimiza wajibu wetu mbalimbali tusamehe twakusihi.

Tunajikabidhi mikononi mwako tulinde tuondoe katika hatari mbalimbali tukumbatie usiku kucha hadi tutakapoamka kesho mfalme wa Amani.

Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wajane ,yatima .
Tunakuomba tuimarishe tukuamini na kukupenda na kuleta mahitaji yetu mbele zako tukiamini kupokea.
Tunakemea nguvu zote za giza,pepo wachafu na tunaenda kinyume na hila zote za shetani,damu ya Yesu itawale.
Asante Baba kwa kutupa mahitaji yetu sawa na mapenzi yako,Roho Mtakatifu mfariji wetu kaa nasi tufundishe kuomba na kutii
Tunaomba na kushukuru Amen

USIKU MWEMA MBARIKIWE
Honestly sijawahi angushwa na sijui kama itatokea niangushwe na wewe. Maombi mjarabu kabisa mpaka yamenitoa usingizini ghafla. Ndio maana huwa najisema "husinikubali haraka"
Eeh Baba Mungu sikiliza na bariki mahitaji ya nafsi zetu si kwa mapenzi yetu sisi, bali kadiri ya mapenzi yako Baba. Pokea na bariki Sala na maombi ya jamii hii, ili vipepee kama moshi wa ubani mbele ya uso wako. Ameen.

Barikiwa sana Mama Mchungaji tumaini langu.

"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
 
Amen asante
 
1821c25fb7071a0382a0809d5e563e51.jpg

Tuendelee kufanya maombi mama chungaji?

MATHAYO 25

13.Basi kesheni ,kwasababu hamuijui siku wala saa.

Hakika yatupasa kukesha tukiomba na kuombea wengine maaba siku ya Baba kuja kutuchukua hatuifahamu yatupasa kuwa tayari muda wote.

"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"

Tuendelee kufanya maombi mama chungaji?

"ALIYEPUNGUKIWA NA AKILI UWAONEA WATU"
 
1 YOHANA 5

14. Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake,ya kuwa tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake,atusikia.

TUOMBE

Asante Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa,tunaomba toba kwa mabaya yote tuliyotenda kwa mawazo ,maneno,matendo na kwa kutotimiza wajibu wetu mbalimbali tusamehe twakusihi.

Tunajikabidhi mikononi mwako tulinde tuondoe katika hatari mbalimbali tukumbatie usiku kucha hadi tutakapoamka kesho mfalme wa Amani.

Ponya wagonjwa,fariji wafiwa na wajane ,yatima .
Tunakuomba tuimarishe tukuamini na kukupenda na kuleta mahitaji yetu mbele zako tukiamini kupokea.
Tunakemea nguvu zote za giza,pepo wachafu na tunaenda kinyume na hila zote za shetani,damu ya Yesu itawale.
Asante Baba kwa kutupa mahitaji yetu sawa na mapenzi yako,Roho Mtakatifu mfariji wetu kaa nasi tufundishe kuomba na kutii
Tunaomba na kushukuru Amen

USIKU MWEMA MBARIKIWE
Amen
 
Zamani nilikuwa nalaumu sana mfumo wa Wamarekani ambako kuteuliwa/kugombea nafasi ya uongozi wa aina yo yote ni lazima uwe na kazi inayoeleweka; na mara nyingi uwe na pesa zako mwenyewe za kutosha. Kumbe wako sahihi. Ndiyo maana wenzetu wale kakosa kadogo tu mtu ameshajiuzulu. Na kuteuliwa halafu wakakataa ni jambo la kawaida. Trump amehangaika kweli kumpata mtu wa kumteua kushika u director wa FBI. Kila anayemuomba jamaa wanakataa. Why? Kwa sababu tayari wana hela zao. Sasa hawa wanasiasa wetu hawa wachumia tumbo ni shida tupu yaani hata aibu hakuna.
c6ff0feaea5513d27e83cc92fce52337.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom